Sunday 7 July 2013

AKAUNTI YA NMB CHAPCHAP YAWAVUTIA WENGI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

 Maafisa Mauzo ya Nje wa Benki ya NMB wakiwahudumia wateja waliofika katika Banda la benki ya NMB lililopo katika viwanja vya sabasaba kwaajili ya kufungua akaunti ya Chapchap ambapo mteja ufunguliwa akaunti yake papo hapo na kupewa kadi ya kutolea pesa kwenye mashine muda huo huo.
 Baadhi ya Wateja waliofurika katika moja ya gazebo la NMB lililopo nje ya Banda la Benki ya NMB  katika Viwanja Vya Sabasaba wakifunguliwa akaunti ya ChapChap ambayo mteja ufunguliwa akaunti hiyo akiwa na kitambulisho cha kupigia kura na kupewa kadi yake ya kutolea pesa kwenye mashine za NMB papo hapo na kwa gharama ya Shilingi Elfu kumi tu
 Wateja waliofika katika Moja ya gazebo lililopo nje ya Banda la Benki ya NMB katika viwanja vya sabasaba wakipata maelezo mara baada ya kufungua akaunti zao za ChapChap na kukabidhiwa kadi zao za kutolea pesa kwenye mashine za NMB papo hapo kwa gharama nafuu ya shilingi Elfu Kumi tu.
 Afisa mauzo ya Nje wa Benki ya NMB Bw Respecious Denis akitoa maelezo ya akaunti ya Chapchap kwa Mteja aliyemaliza kufungua akaunti hiyo mara baada ya kufika kwenye moja ya gazebo la Benki ya NMB lililopo katika Viwanja Vya sabasaba mapema leo
 Maafisa Mauzo ya Nje wa Benki ya NMB wakiwahudumia wateja waliofika katika gazebo la Benki ya NMB lililopo nje ya Banda la Benki ya NMB kwaajili ya Kufungua akaunti ya Chapchap ambapo mteja akimaliza kufunguliwa akaunti hukabidhiwa kadi yake ya kutolea pesa kwenye mashine za NMB papo hapo


 Maafisa Mauzo ya Nje wa Benki ya NMB wakiendelea na zoezi la kuwafungulia akaunti ya Chapchap wateja waliofika katika moja ya gazebo la Benki ya NMB kwaajili ya kufungua akaunti  ya Chapchap Kulia Ni baadhi ya Maafisa Mauzo ya Nje wa Benki ya NMB wakijiandaa kwaajili ya kumpiga Picha mteja aliyefika kwaajili ya kufungua akaunti ya Chapchap.
 Afisa Mauzo ya Nje wa Benki ya NMB Maana Katuli akimpiga picha mteja aliyefika katika Banda la NMB kwaajili ya Kufungua Akaunti ya Chapchap ambapo mteja akimaliza kufunguliwa akaunti anakabidhiwa na kadi yake ya kutolea pesa papo hapo
 Wateja wakipata maelezo ya kutosha kutoka Kwa Maafisa Mauzo ya Nje wa Benki ya NMB
 Mteja akichukuliwa alama za vidole na mmoja kati ya maafisa mauzo ya nje wa benki ya NMB waliokuwa wakimuhudumia wakati mteja huyo alipofika kwaajili ya kufungua akaunti ya Chapchap
Afisa Mauzo ya Nje wa Benki ya NMB Batuli Suna akichukua alama za vidole vya mteja alifika katika banda la benki ya NMB kwaajili ya Kufungua akaunti ya Chapchap katika Maonyesho ya 37 ya Kibiashara ya Kimataifa.Picha Zote na Josephat Lukaza wa http://josephatlukaza.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...