Sunday 7 July 2013

LULU APATA TUZO KUBWA KWENYE TAMASHA LA ZIFF

lulu
Zanzibar Filim Festival bado inaendelea na msanii Elizabeth Michael maarufu kama Lulu amejikuta mwenye furaha tele baada ya kushinda tuzo ya Best Actress in Swahili Film kupita movie ya Woman of Principles ya RJ Company. Movie hiyo ambayo imeigizwa na Ray,Nagris Mohamed na Lulu mwenyewe, ilifanya vizuri mwaka jana na ni ilipata nafasi ya kuingia kwenye tuzo hizi za ZIFF. ZIFF ni tamasha kubwa sana  Africa nzima huku likiwa kutanisha wadau mabalimbali wa filamu, inaonekana hii itakuwa ni kick ya Lulu kufunguka kimataifa zaidi baada ya kupata platform kama hii.
lulu2
CHANZO: Bongo movie

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...