Saturday 6 July 2013

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE ASIANA YAPATA AJALI WAKATI WA KUTUA HUKO SAN FRANCISCO U.S.A



asiana airlines boeing 777 crashes at san francisco airport asiana airlines boeing 777 crashes at san francisco airport 768x512

Ndege ya shirika la ndege la Asiana imepata ajali mbaya wakati wa kutua katika uwanja wa San Francisco ikitokea Seoul,Korea ya kusini. Katika ajali hiyo watu wawili wamepoteza maisha.Kwa habari zaidi endelea kufuatilia humu.
CHANZO: CNN 


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...