Monday 1 July 2013

Obama aserebuka uwanja wa Ndege DSM Tanzania



 Rais wa Marekani Barack Obama ameshindwa kujizuia kuserebuka nyimbo zenye mahadhi ya Kiafrika pale alipokuwa akingalia ngoma mbalimbali zilizoandaliwa katika mapokezi yake nchini Tanzania,alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar Es Salaam.
CHANZO: ITV



Obama akikagua gwaride la wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi Tanzania


Baadhi ya wananchi walifanya kila wawezalo ili wamwone rais Barack Obama



No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...