Monday 1 July 2013

RAIS BARACK OBAMA AKIWASILI TANZANIA MCHANA WA LEO


 Rais Barack Obama wa nchini Marekani na Mkewe Michelle Obama wakiwa sambamba na watoto zao,wakiwasili chana huu kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,jijini Dar es Salaam mchana huu kwa ziara ya siku mbili hapa nchini.
 Ndege ya Rais wa Marekani ikiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere,mchana huu.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Marekani,Barack Obama aliewasili nchini Mchana huu kwa ziara ya kikazi ya Siku mbili.
CHANZO: Michuzi

Picha zaidi kutoka vyanzo mbalimbali

Rais Obama akitelemka kwenye Air Force One na mtoto wake pembeni mara baada ya kuwasili katika ardhi ya Tanzania wakati akitokea afrika ya Kusini majira ya saa 8 mchana kwa ziara ya kikazi nchini.


Picture

Picture
Rais wa Marekani Barack Obama, kulia, na rais wa  Tanzania  Jakaya Kikwete, kushoto, wakiwapungia wananchi wakati wakiingia Ikulu,  Dar es Salaam, Tanzania (Picha: AP)


CHANZO:Wavuti

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...