Tuesday 2 July 2013

RAIS KIKWETE AMTAMBULISHA MEYA WA ILALA JERRY SILAA KWA RAIS OBAMA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama  wa Marekani Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Slaa muda mfupi kabla ya kiongozi huyo wa taifa la Marekani kuondoka nchini baada ya kumaliza ziara ya kikazi ya siku mbili(picha na Freddy Maro)
8E9U03968E9U0405
CHANZO: Full shangwe

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...