Friday 5 July 2013

Rais Kikwete atembelea Banda la Umoja wa Mataifa viwanja vya Sabasaba

1
Rais Jakaya Kikwete akisikiliza kwa makini maelezo aliyokuwa akipewa mara baada ya kuingia katika banda la Umoja wa Mataifa  Tanzania lililopo kwenye maonyesho ya 37 kimataifa ya Biashara yanayoendelea katika uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
6
Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo ya kazi mbalimbali zinazofanywa na taasisi mbalimbali za Umoja wa Mataifa nchini.
2
 Ofisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa Tanzania (UN), Hoyce Temu (kulia), akimkaribisha Rais Jakaya Kikwete kusaini kitabu cha wageni baada ya kumaliza kuzungumza na maofisa wa UN katika banda lao.
3
 Rais Jakaya Kikwete akitia saini kitabu cha wageni katika banda la Umoja wa Mataifa Tanzania. Kulia ni Ofisa Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa Tanzania Hoyce Temu.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...