Friday 31 May 2013

CHEKA NA LE PROFESERI WA ORIJINO KOMEDI

ENJOY WEEKEND YAKO NA BURUDANI TOKA KWA BRACKET NA WIZKID



E yea yea yea yea yea
It’s Wiz and Bracket e ye
I’ve been thinking of you girl girl
But you dey put me for cruise girl girl
You dey take me for fool girl girl
Just because I say I love you
You come try to play my love yea
Chei nne oginidi
amam na anyi ga ebi
makana ife n’ ine m na emere gi
osi m n’ obi
osi m n’ obi
osi m n’ obi
oginidi
amam na anyi ga ebi
makana ife n’ ine m na emere gi
osi m n’ obi
osi m n’ obi
osi m n’ obi.....

JE UNAJENGA AU MPANGO WA KUJENGA?DESIGNS ZA NYUMBA KWAAJILI YAKO MDAU











Front
Front

KWA WAPENZI WA VILEMBA (TURBAN) MAMBO HAYO!













NGUO ZA OUTING HIZO!




WANAWAKE MAARUFU DUNIANI-CONDOLEEZZA RICE NA HILLARY RODHAM CLINTON




Condoleezza Rice






Hillary Clinton(kushoto), Dorothy Rodham (katikati) ambae ni mama yake Hillary na  Chelsea( kulia),binti wa Hillary Clinton siku ya arusi ya Chelsea.Hillary amevaa gauni iliyobuniwa na Oscar de La Renta.Nguo a Chelsea imebuniwa na Vera Wang








MTU MMOJA APOTEZA MAISHA BAADA YA KUANGUKA WAKATI AKIJARIBU KUDANDIA DALADALA MAENEO YA ILALA BOMA



Asubuhi hii ajali mbaya imetokea maeneo ya Ilala Boma na  kusababisha kifo cha abiria huyu ambaye hajatambulika kwa jina mpaka sasa baada ya abiria kutaka kudandia bahati mbaya akadondoka na kupasuka kichwa na kusababisha umauti wake



Hii ndio daladala ambayo marehemu alikuwa akitaka kudandia na kudondoka kwa bahati mbaya

NAIBU SPIKA AAPA KUTOMWADHIBU MBUNGE YEYOTE KWA MADAI KWAMBA AMECHOKA KUITWA ZEZETA




Naibu Spika wa Bunge,Ndugu Job Ndugai amesema kuwa kuanzia sasa hatamwadhibu Mbunge yeyote anayeleta vurugu Bungeni kwakuwa amechoka lawama. 

 Akihojiwa na Redio One Stereo katika kipindi cha Kumepambazuka leo asubuhi ,Ndugai amesema kuwa yeye amechoka kuitwa mzembe,zezeta na goigoi na vyombo vya habari.

Ndugai amesema kuwa hata kwa Wabunge waliosababisha tafrani Bungeni jana kiasi cha kuchana Nyaraka za Bunge,hawatachukuliwa hatua yoyote.


 "Kila Mbunge anayeadhibiwa na Kiti cha Spika anaonekana Shujaa. Sisi tunamuona mtovu wa nidhamu,wananchi wanamuona shujaa.Siko tayari tena kwa hilo".alisema Ndugai.

KLYN AWEKA WAZI UHUSIANO WAKE NA REGINALD MENGI


Kumekuwepo na Minong'ono mingi lakini hapakuwa na ushahidi wa hili mpaka mwanadada huyo alipoamua kuanika hadharani kuwa mheshimiwa Reginald Mengi ndiye baba halali wa mapacha wake . 



Hiyo ndo Tweet ya Klyn kwa mpenzi wake Mh. MENGI

Thursday 30 May 2013

WANAUME WASINYANYAPAE WAKE WANAPOUGUA FISTULA



WIKI iliyopita ilikuwa ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Utokomezaji wa Ugonjwa wa Fistula.
Katika maadhimisho hayo, wanawake waliopatwa na tatizo hilo walipata nafasi ya kutoa ushuhuda wao kuhusu mahusiano yao na waume zao baada ya tatizo kutokea.
Katika maelezo yao wapo wanawake wachache waliokiri kuwa baada ya kuugua ugonjwa huo walipata ushirikiano kutoka kwa waume zao, wengine walisema walitengwa.
Aidha, mbali na kutengwa na wanaume waliokuwa wakiishi nao, wakati mwingine walijikuta hata watoto waliozaliwa na kusababisha mama zao kupata ugonjwa huo nao walikosa huduma stahiki na kwa wakati kutokana na baba zao kukimbia majukumu yao katika familia.

UPEPO WAMUUMBUA KIM KARDASHIAN








Kim Kardashian aumbuliwa na upepo baada ya kuvaa kigauni kifupi akiwa mitaani nchini Marekani ikumbukwe huyu dada ambaye ni mwanamitindo na mpenzi wa KANYE WEST ni mjamzito

BUNGE LA TANZANIA JE,KATUNI HII IPO SAWA?



HAYA JAMANI KWA WALE WALIOTOA RIPOTI YA HOSPITALI YA NGWEA SIKILIZENI HAPA

BREAKING NEWS:BUNGE LASITISHWA KISA HOTUBA YA MH:WENJE.




Katika hali isiyo ya kawaida leo hii mapema Bungeni Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani imesitishwa baada ya hotuba hiyo kuwataja chama cha CUF kwamba wanamahusiano na chama kinachosapoti Usagaji pamoja na Ushoga hivo nao kuwahusisha katika mambo hayo.

CHANZO: King Jofa




OMBA OMBA FEKI ALIYEJIFANYA KUWA HANA MIKONO ALA KICHAPO KIKALI KUTOKA KWA WANANCHI HUKO IRINGA....SOMA MKASA HUO HAPA..



Akipewa kichapo baada ya kubainika ana mikono yote miwili.

WAKAZI wa mjini Iringa hivi karibuni wameshuhudia kituko cha mwaka baada ya kumnasa mzee mmoja akijifanya ombaomba kwa kuigiza ulemavu asiokuwa nao

Ombaomba huyo feki alijifanya hana mkono wa kushoto na mguu wa kulia na kuweka pozi la kuomba kama vile ni mlemavu katika eneo la Hazina Ndogo, mjini hapa.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, mlemavu huyo feki ameumbuliwa na mtu mmoja ambaye alimuona asubuhi ya siku ya tukio akiwa hana ulemavu wowote kabla ya kumkuta mchana akiomba kwa kujifanya ni mlemavu wa mkono na mguu.
Mtu huyo aliwaambia baadhi ya wananchi siri ya ombaomba huyo na kuwafanya kupandwa na hasira na kuanza kumshushia kipigo wakitaka kuhakikisha kama kweli ni mzima kiasi cha kumuumiza usoni.

MWANAFA APENDEKEZWA KUWA BALOZI WA SAMSUNG GALAXY S4

Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (kulia) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa muda mfupi baada ya kutangazwa kupendekezwa kuwa Balozi wa Samsung Galaxy 4.

 Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (katikati) akitoa neno la shukrani kwa heshima hiyo aliyopewa na Samsung Tanzania kwa kuwa Balozi wa Samsung Galaxy S4. 
Simu ambayo inaongozwa kwa mauza ambapo kwa wiki 3 imeshauza simu Milioni 10 duniani kote. Kulia ni  Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar na kushoto ni  Mkuu wa Biashara kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Manoj Changarampatt. 

P-FUNK AAHIDI USHIRIKI MKUU NA FAMILIA YA MAREHEMU ALBERT MANGWEA MPAKA ATAKAPOZIKWA



Wakati Huo Huo Producer mkongwe katika game hii ya muziki, P-Funk Majani nae ameonesha ni jinsi gani alivyoguswa na na tukio hili la kuondokewa na msanii ambaye alikuwa ni rafiki yake wa karibu sana marehemu Albert Mangwair.


Majani ni producer pekee ambaye alishiriki kwa kiasi kikubwa kwa kuweza kufanya rapper Ngwair kutambulika katika game ya muziki wa Bongo Flava.

Msikilize MAJANI akiwa anaongelea suala zima kuhusina na msiba huu na utayari wake katika kushiriki

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...