Thursday 31 October 2013
MERCEDES-BENZ FASHION WEEK 2013: DAVID TLALE'S COLLECTION IN COLLABORATION WITH VLISCO.
South African designer David Tlale showcased these amazing pieces in collaboration with Vlisco in the ongoing Mercedes-Benz Fashion Week 2013 in Pretoria, South Africa. And one of those models who walked the ramp were Millen Magese and Daxx Hans from Tanzania. Look the collection below photographed by the amazing Simon Deiner/SDR Photography
ASO EBI KUTOKA NIGERIA,WANAPENDEZA JAMANI!
Nguo za Wanaijeria ni simple ila zinashonwa kwa kutumia ubunifu mkubwa na kila anayevaa anapendeza kwa kweli. Wana nguo maalum za kuvaa katika sherehe mbalimbali kama kwenye "engagement party", arusi ya kimila n.k. Ni vizuri kuwa na utamaduni wenu kwani huo ndiyo utambulisho wa wapi umetoka!Big up kwa Wanaija!
MARANDO ATAKA KINA BABU SEYA WAACHIWE HURU
Mwanamuziki maarufu nchini, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya (kulia) na mwanawe Johnson Nguza maarufu kama Papii Kocha, wakisindikizwa na askari Magereza baada ya ombi lao la kutaka hukumu ya
Wakili anayewatetea wanamuziki Nguza Vicking maarufu kama 'Babu Seya' na mwanawe Papii Nguza wanaotumikia kifungo cha maisha kwa makosa ya kulawiti na kubaka, Mabere Marando ameiomba Mahakama ya Rufani Tanzania kuwaachia huru wateja wake kwa kile alichoeleza ushahidi uliotumika kuwatia hatiani kuwa na mapungufu ya kisheria.
Aidha, amedai kuwa ushahidi uliotolewa na baadhi ya mashahidi wa Jamhuri haukufuata masharti ya sheria ya kupokea ushahidi wa watoto wadogo.
Marando alitoa ombi hilo jana wakati akitoa hoja ya ombi la warufani Babu Seya na mwanawe Papii maarufu kama Papii Kocha mbele ya jopo la majaji watatu likiongozwa na Mwenyekiti Jaji Nathalia Kimaro, akisaidiana na Mbarouk Mbarouk na Salum Massati.
‘MARUBANI WALIOTOROSHA TWIGA WALITUMIA HATI ZA KIDIPLOMASIA’
Alisema thamani ya wanyama wote waliotoroshwa ilikuwa ni Sh170.5 milioni na kwamba twiga hao wanne kila mmoja alikuwa na thamani ya Dola 10,000 za Marekani sawa Sh60 milioni za Tanzania. PICHA|MAKTABA
Moshi na Dodoma. Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi, imeelezwa kuwa marubani wa ndege ya kijeshi ya Qatar, walitumika katika kutorosha twiga wanne kwenda Uarabuni na kwamba washtakiwa walikuwa na hati za kusafiria zenye hadhi ya kidiplomasia.
Shahidi wa 13, Prisca Sabugo ambaye ni Ofisa Uhamiaji, aliiambia mahakama juzi kuwa hati hizo hazikugongwa mihuri wala kupewa viza.
Akitoa ushahidi wake mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Kobelo, shahidi huyo alidai kuwa ndege hiyo ilitua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia) Novemba 24 mwaka 2011.
SOMA ALIYOAANDIKA LE-MUTUZ:THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA MY COMMENTS ON WASANII WA BONGO THE MBURULAZZZ KUSUSIA MSIBA WA SUPER STAR WEMA SEPETU!!! OOOH PLEASEE!!!
@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- AS USUAL I ALWAYS HAVE TO SAY SOMETHING WHEN THINGS ARE HOT ON THE FACT KWAMBA WASANII WENGI WA BONGO WAMESUSIA KWENDA MSIBA WA MSANII MWENZAO SUPER STAR WEMA SEPETU KWA SABABU HAJAENDA MISIBA YAO, NI SIMPLY FOOLISH THINKING COMING FROM UNEDUCATED FOOLS. OK SO WHAT? KWANI WEMA ALIWAOMBA KWENDA KWENYE MSIBA WAKE? LOOK HERE KAMA MIMI SIJI MSIBA WAKO MAANA YAKE NI SITEGEMEI WEWE UJE KWENYE WANGU, FULL STOP!! I CAN UNDERSTAND KAMA WEMA ANGEKUWA WA KWANZA KULALAMIKA KWAMBA WASANII HAWAKWENDA SAWA THEN HAWA WASANII WANGEKUWA NA HAKI YA KUTAMBA KWAMBA WAMEMSUSIA OTHERWISE I SEE THEM PLAYING FOOLS WITH THEMSELVES, MSIBA WA WEMA UMEHUDHURIWA MPAKA NA RAIS WA JAMHURI, MAKAMU WAKE, MAWAZIRI HIVI KWELI ALIWAHITAJI HAWA WASANII MBURULAZZZ FOOLS? OHHH PLEASE SPARE US YOUR FOOLISHNESS, I AM SURE KWAMBA WEMA WALA HAJUI KAMA HAWAKUJA CAUSE I WAS THERE JANA KULIKUWA NA WATU WENGI TU TENA MAARUFU SANA WA KILA KONA YA HILI TAIFA!!
RAIS WA ZANZIBAR AUAGA MWILI WA MAREHEMU BALOZI ISAAC SEPETU!
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitia saini kitabu cha maombolezo ya Marehemu Balozi Isaac Sepetu,katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani,Mnazi mmoja Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akiuwaga Mwili wa Marehemu Balozi Isaac Sepetu,katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani,Mnazi mmoja Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimpa pole Mjane wa Marehemu Balozi Isaac Sepetu,Mama Miriam Sepetu,alipofika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani,Mnazi mmoja Mjini Unguja,kuuaga mwili wa Marehemu leo (jana)Asubuhi.
Wednesday 30 October 2013
MAJAJI KUTOA UAMUZI WA HUKUMU YA BABU SEYA
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza au Papii wakiwa katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania kabla ya kuanza kwa kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza au Papii wakiwa katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania kabla ya kuanza kwa kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza wakiteta jambo na wakili wao, Mabere Marando.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza au Papii wakiwa katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania kabla ya kuanza kwa kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza wakiteta jambo na wakili wao, Mabere Marando.
Mahakamani.
UNAJUA KUWA MWANAMUZIKI MARIAH CAREY NI MWEUSI?
Mariah Carey
Alfred Roy Carey,Mariah´s father Patricia Hickey, Mariah´s mother
Mariah Carey (kushoto), baba yake (katikati) na alison carey,dada yake Mariah(kulia)
UNAJUA NI JINSI GANI SWALA LA UBAGUZI WA RANGI LILIVYOITESA FAMILIA YAKE?ANGALIA VIDEO HII
Bofya read more kuangalia picha zaidi za familia ya Mariah
NILISHAURIWA KUMUUA HUYU, KISA? MLEMAVU
Mtoto mwenye ulemavu, Oini Meng’ariki akiwa nyumbani baada ya kutoka shuleni katika Kijiji cha Kivululu wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha.Picha na Filbert Rweyemamu
Oini Meng’oriki ni mtoto aliyezaliwa Septemba 11,2009; ni miongoni mwa watoto waliozaliwa akiwa na ulemavu wa viungo,hana mikono na miguu yake ina ulemavu kiasi kwamba hawezi kutembea.
Ni kwamba miguu yake imepinda, kiasi kwamba hata kukanyaga chini ili atembee inakuwa ngumu.
Hata vidole vyake haviko sawa vilivyo vidole vya miguu vya watu walio wengi. Kwa ujumla ana tofauti ya namna miguu yake ilivyo ukilinganisha na watu walio wengi.
Hata hivyo ukionana nae utatamani kuendelea kuwa nae kutokana na kuonekana mwenye tabia njema, sura ya matumaini na kuonyesha furaha muda mwingi wa maisha yake.
Tabia yake ya furaha, imesabisha awe na marafiki wengi, licha ya udogo wake wa umri.
Oini ni mtoto wa kwanza kwa mama yake Eva Meng’oriki (21) akiwa ni mke wa tatu kwa mume wake Meng’oriki Sumeno mkazi wa Kijiji cha Kambala,Wami Dakawa Wilaya ya Mvomero, Morogoro katika jamii ya wafugaji wa Kimasai.
Subscribe to:
Posts (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...