Saturday 31 May 2014
ANGALIA UBUNIFU: CONTAINER GARDENING
Mdau,angalia jinsi unavyoweza kutumia viatu vilivyoharibika badala ya kuvitupa.Hii inamaanisha unaweza kutumia vitu vingine tofauti katika kubuni uoteshaji wa maua katika bustani ya nyumba yako. Hii itafanya mazingira ya nyumba yako kuonekana tofauti na ya kupendeza.Kwa kujifunza zaidi,angalia picha hapa chini.Jaribu sasa!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
No comments:
Post a Comment