Thursday 29 May 2014

MAZISHI YA RECHO: SAFARI YA KUELEKEA MAKABURINI


Majeneza yenye miili ya Recho na mwanaye.


Miili ya Rachel Haule 'Recho' na mwanae ikishushwa kwenye gari maalum baada ya kuwasili Viwanja vya Leaders ikitokea nyumbani Palestina Dar, tayari kwa kuagwa.
CHANZO: GPL

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...