Saturday 29 November 2014

MAANDALIZI YA KRISMASI JIJINI STOCKHOLM, SWEDEN

Katika shopping center ya eneo ninaloishi, kulikuwa na soko la krismasi. Makundi mbalimbali ya watu walijumuika katika soko hili huku soseji za aina tofauti zikiuzwa pamoja na kinywaji maalum Waswidi kijulikanacho kama glogg.Vilevile kulikuwa na burudani za aina mbalimbali.Palipendeza sana.

Saturday 22 November 2014

JE, HALI YA ELIMU MJINI TANGA IKOJE?



Nimefurahi kuwaona walimu wangu wakiongea katika video hii.
Wa kwanza ni Mrs Rajyagur, ambaye alikuwa mwalimu wangu wa kiingereza katika shule ya msingi  Darajani(zamani Agakhan),Tanga.

Na wa pili ni mwalimu Mwaeshu,ambaye alikuwa ni mwalimu wangu wa Kiswahili katika shule ya sekondari,Usagara.

Thursday 20 November 2014

THE KITCHEN;AINA TOFAUTI ZA DINNER SET

Versace Butterfly Garden Dinnerware PRETTY <3Lenox Dinnerware, Embassy Collection - Fine China

THE BATHROOM: JINSI RANGI NA MAPAMBO VINAVYOWEZA KUONGEZA MVUTO WA BAFU/MALIWATO



THE LIVING ROOM: AINA ZA LEATHER SOFA NA MPANGILIO WAKE



WIGI ZA HUMAN HAIR KWA WANAWAKE



Wig 100% Indian Remi Human Hair Natural First Lady Color 1


THE BEDROOM: AINA ZA VITANDA NA MPANGILIO WA SAMANI KATIKA CHUMBA CHA KULALA




THE WARDROBE: DESIGNS TOFAUTI ZA BLAZER

Madeleine Fall 2014 ● Madeleine Blazer and Skirt               Madeleine Fall 2014 ● MADELEINE Blazer  I know it is a lot of snakeskin print but I would still wear it :) MADELEINE Blazer and Skirt

THE DINING ROOM: AINA TOFAUTI YA SAMANI ZA DINING ROOM NA UPANGILIAJI WAKE



MITINDO: ANGALIA AINA TOFAUTI ZA MIWANI ZA JUA

Madeleine Fall 2014  ♥✤ Madeleine ♥✤  Madeleine

Wema Sepetu "IN MY SHOES" S02EP01 Mapokezi ya Diamond

VIDEO YA NYIMBO MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ - NTAMPATA WAPI

KALI YA LEO!

Umuhimu wa elimu unaanzia hapa!Je, wewe msomaji  unaonaje?

AFRICAN PRINT JUMPSUITS

African Print Jumpsuit

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...