Friday 30 January 2015
Thursday 29 January 2015
Tuesday 27 January 2015
Monday 26 January 2015
Sunday 25 January 2015
Saturday 24 January 2015
KALI YA LEO: CHEKA UTOE STRESS ZA MAISHA!
Jamaa mmoja alikwenda kutafuta kazi ya ulinzi.Yafuatayo ndiyo mahojiano kati yake na mwajiri:
Employer: Umesoma mpaka wapi?
Watchman: Mpaka Form 4
Employer: Unajua kiingereza?
Watchman: kwani hao wezi wanakuja ni wazungu?
Friday 23 January 2015
Thursday 22 January 2015
JIJI LA STOCKHOLM NA SNOW
Picha zifuatazo ni katika baadhi ya maeneo jijini Stockholm baada ya barafu (snow) kudondoka jana na leo. Kils sehemu ni nyeupe na inafanya maeneo yenye barafu kuwa na mwonekano angavu! Baridi nayo ipo sambamba.
Wednesday 21 January 2015
THE GARDEN: VEGETABLES CONTAINER GARDENING
Wengi wetu tunalalamika kuwa hatuwezi kulima mboga katika maeneo ya nyumba zetu kutokana na kuwa eneo dogo.Hivi kweli katika eneo dogo mtu huwezi kuwa na bustani? Jibu: si kweli.Unaweza kuotesha baadhi ya mboga ambazo unaweza kabisa kutumia kwa ajili ya chakula na saladi. Ni salama zaidi kuotesha mboga zako mwenyewe kuliko kununua mboga ambazo hujui zinalimwa wapi na maji gani yametumika kuzinyweshea au aina ya mbolea iliyotumika.
Unaweza kuotesha nyanya, matango,cabbage,sukuma wiki n.k. Mboga hizi huweza kuotesha katika vyombo (container) na zikakuwa na kustawi kama zile zioteshwazo katika bustani za kawaida.Angalia mwonekano hapa halafu na wewe tengeneza vegetables container garden yako kwa afya bora ya familia yako.
Unaweza kuotesha nyanya, matango,cabbage,sukuma wiki n.k. Mboga hizi huweza kuotesha katika vyombo (container) na zikakuwa na kustawi kama zile zioteshwazo katika bustani za kawaida.Angalia mwonekano hapa halafu na wewe tengeneza vegetables container garden yako kwa afya bora ya familia yako.
Nyanya |
DESIGNS ZA NYUMBA KWA WALE WANAOTAKA KUMILIKI MIJENGO
Nyumba zote ni za vyumba 3 vya kulala. Design ya mwisho ina ramani kabisa hivyo kazi kwako msomaji.
Subscribe to:
Posts (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...