Wednesday 21 January 2015

THE GARDEN: VEGETABLES CONTAINER GARDENING

Wengi wetu tunalalamika kuwa hatuwezi kulima mboga katika maeneo ya nyumba zetu kutokana na kuwa eneo dogo.Hivi kweli katika eneo dogo mtu huwezi kuwa na bustani? Jibu: si kweli.Unaweza kuotesha baadhi ya mboga ambazo unaweza kabisa kutumia kwa ajili ya chakula na saladi. Ni salama zaidi kuotesha mboga zako mwenyewe kuliko kununua mboga ambazo hujui zinalimwa wapi na maji gani yametumika kuzinyweshea au aina ya mbolea iliyotumika.
Unaweza kuotesha nyanya, matango,cabbage,sukuma wiki n.k. Mboga hizi huweza kuotesha katika vyombo (container) na zikakuwa na kustawi kama zile zioteshwazo katika bustani za kawaida.Angalia mwonekano hapa halafu na wewe tengeneza vegetables container garden yako kwa afya bora ya familia yako.

Container Growing Vegetables
Nyanya
prinzessinnengarten - communal raised container garden in Germany
Cabbage

chic container gardening.
Mboga za majani aina tofauti

5 Best container garden vegetables.  Great idea can grow on deck away from our friendly deer.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...