Saturday 28 February 2015

THE WARDROBE: PUNJABI DRESS NA MVUTO WAKE

    

GAUNI LENYE SHANGA ZA LULU LA LUPITA NYONGO LILILOIBWA, LAPATIKANA

0227-main-lupita-nyongo-getty-01

Hatimae gauni la  muigizaji wa kike Lupita Nyongo,lililoibwa kutoka katika hoteli aliyokuwa akikaa,limepatikana. Gauni hilo lililotengenezwa kwa shanga za lulu alilivaa katika tuzo za Oscar.

THE LIVING ROOM: COFFEE TABLE



THE DINING ROOM: SAMANI ZA DINING NA MPANGILIO WAKE



VIATU KWA WANAWAKE KUTOKA KWA DOROTHY PERKINS

urefu wa kisigino  9.5

Textile
   

THE BEDROOM: SAMANI KATIKA CHUMBA CHA KULALA NA MPANGILIO WAKE




THE GARDEN: JE,UNAYAFAHAMU MATUNDA HAYA?



Ninayatamani sana matunda haya ambayo wakati wa utoto wangu nimeyala sana.Kwa wale wa Dar es salaam,yanapatikana wapi? Niliyajua kwa majina ya topetope au stafeli.Je,wewe mdau, unayajua kwa majina gani?

THE WARDROBE: POLKA DOTS DRESS

"Black & white polka dot dress" by lisariverarph on Polyvore  Purple polka dotted dress with purple pumps, purple purse, and purple drop earrings ... love that purple  ...

Wednesday 25 February 2015

Monday 23 February 2015

the avenue mawazohuru S04 EP07 Gamariel Mboya

MY BEST COUPLE IN THE OSCARS

Handsome: John, 36, looked suave in a Gucci tuxedo as he posed with his beautiful wife on the  red carpet
John Legend na mkewe Chrissy

LUPITA NYONGO ROCKED IN A CALVIN KLEIN PEARL BEADED DRESS

                        Oscar winner: Lupita won the Oscar for Best Support Actress last year for her work in 12 Years A Slave


TUSEME BASI KWA MAUAJI YA ALBINO

TUSEME BASI KWA MAUAJI YA ALBINO!
   


Ninashindwa kuelewa nianzie wapi kuandika hii makala ya leo.Maana ninaandika mikono ikitetemeka kwa kweli. Nashindwa kuelewa hasa lawama zangu nizielekeze kwa nani. Sijui kama ni kwa serikali au wananchi,ama kwa wote.
Hivi ni kweli tumeshindwa kuwalinda watu wenye ulemavu wa ngozi? Hawa watu wenye ulemavu wa ngozi wanaishi wapi na wanao waua kikatili nao wanaishi wapi? Je,wanaishi katika nchi tofauti au sayari tofauti? Kama la, je ni kweli jamii inayoishi katika maeneo husika haijui ni nani wanaotenda vitendo hivyo? Kama wanajua kwanini wanakaa kimya?

THE KITCHEN: MWONEKANO WA RANGI YA BLUU JIKONI NA MVUTO WAKE



THE LIVING ROOM: SECTIONAL LEATHER SOFA NA MPANGILIO WAKE




THE DINING ROOM: GLASS DINING TABLE




HUMAN HAIR WIGS KWA WANAWAKE

http://ep.yimg.com/ay/wowwigs/h-6615-lily-wig-3.jpg  http://ep.yimg.com/ay/wowwigs/h-6615-lily-wig-10.jpg

SANDALS KUTOKA KWA ALDO

  

SHOPPING BAG KUTOKA KWA MORGAN

  

Friday 20 February 2015

THE GARDEN: PALM TREE INAVYOWEZA KUPENDEZESHA MAZINGIRA YA NYUMBA YAKO

Kuna aina nyingi ya mimea unayoweza kuweka katika bustani yako ya maua.Katika bustani zetu za maua sisi wote huweka mimea ambayo ni chaguo letu. Katika mimea niipendao Palm, na fern ni miongoni mwa hiyo mimea.Je,wewe msomaji unapenda ipi?

Tuangalie baadhi ya palm na fern zikiwa zimepandwa kwa kuchanganywa na mimea mingine kiubunifu ili kuleta mvuto unaotakiwa katika bustani yako.


Container with Palm
Palm tree na fern zilivyopendeza hapa

THE LIVING ROOM: REMBA SEBULE LAKO KWA MITO YA KUTUPIA KATIKA MAKOCHI

OUTDOOR+Pillow+Set+Suzani+Flower+Greek+Key+Geometric+by+HomeLiving,+$60.00

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...