Tuesday, 31 March 2015

KALI YA SIKU!

FILAMU INAYOANGAZIA MASAIBU YA ALBINO

Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la mauaji ya albino, hasa katika mataifa ya Malawi, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Tanzania na vile vile Burundi. Watu hao hulengwa kutokana na itikadi za kichawi kwa madai kuwa viungo vyao huleta utajiri, bahati na kuponyesha maradhi yoyote. Filamu moja inayoangazia mauaji ya albino Tanzania imezinduliwa London wiki hii, Zuhura Yunus wa BBC alihudhuria uzinduzi huo. CHANZO: BBC

DESIGNS ZA NYUMBA NA PLAN ZAKE KWA WALE WANAOTAKA KUMILIKI MIJENGO

Front

Level 1

Elevation #2

Floor 1

SILVER JEWELLERY!

HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA!

Barack Obama  29 Photos Of Baby Barack Obama
                                       Barack Obama akiwa mdogo kabisa

29 Photos Of Baby Barack Obama  29 Photos Of Baby Barack Obama

THE GARDEN: GARDEN LANDSCAPING IDEAS
THE BATHROOM: AINA TOFAUTI ZA JACUZZITHE DINING ROOM: DINING SETS DESIGNS

MIKATO MBALIMBALI YA NYWELE KWA WANAUME

EASTER DECORATIONS

We are in the holy week and easter sunday is just around the corner. It is really important to decorate our houses with coloured eggs, wreaths etc, without forgetting touches of spring.

We are going to share with you different easter decoration in this holy week!

Easter Decorations

MKOBA WA KIKE KUTOKA KWA GABOR

  

Monday, 30 March 2015

Linah ft Christian Bella - Hello (Official Video)

VIDEO: WHAT IF A WOMAN BY JOE THOMAS
What if a woman
Had a man on the side
And she never spent time with you
What if a woman
Said she's working late
And it's always the same excuse
What if a woman

SAA KWA WANAWAKE KUTOKA KWA S.OLIVER

  

THE GARDEN: GARDEN LANDSCAPING IDEASTHE LIVING ROOM: DESIGN ZA SOFA ZA KITAMBAA NA MPANGILIO WAKETHE BEDROOM: DESIGN ZA VITANDA NA MPANGILIO WAKE

THE WARDROBE: OFFICE OUTFITSTYLES: MICHELLE OBAMA IN CASUAL LOOK!

Michelle Obama

THE DINING ROOM: SAMANI ZA DINING ROOM NA MPANGILIO WAKE

Nina uhakika kwa kuangalia samani tofauti na mpangilio wake,wengi mnajifunza au mnapata nyongeza ya kitu kinachopelekea kunogesha nyumba zenu. Lengo ni kuelimishana na hakuna samani tunazouza kwasasa. 


Friday, 27 March 2015

Diamond Platnumz ft Khadija Kopa - Nasema Nawe ( Official Music Video )

SAA YA MKONO KWA WANAWAKE KUTOKA KWA TAMARIS

  

MKOBA KUTOKA KWA LYDC LONDON

  

TEMBEA UONE: ANAYEKUTWA NA NGOZI NDIYE ALIYEIBA MBUZI!


                   
Tupo njiani tukielekea Wilaya ya Pangani,mkoani Tanga. Baada ya kupita eneo la Duga, mbele kidogo, tunakuta kundi kubwa la watu wakiwa wamekusanyika.

NIMEZIPENDA HIZI LONG HIGH WAISTED AFRICAN PRINT SKIRTSKinachofanya mtu apendeze na hizi sketi ndefu za african print ni mchanganyiko wa rangi na jinsi mvaaji atakavyopangilia rangi hizo,basi.Mishono yake huwa ni rahisi ILA mpangilio wa rangi huzingatiwa.


THE BEDROOM: LEATHER BEDS NA MPANGILIO WAKEMEN MOHAWK HAIRCUT STYLES
JIKONI KWANGU: MCHEMSHO WA SAMAKI NA VIAZI MVIRINGO

Ninaendelea kushirikiana na nyie mapishi yangu mwenyewe
jikoni kwangu. Nitakuwa ninafanya hivi kila nitakapopata nafasi.


MAHITAJI
1 Samaki ( Sato,changu n.k)
½ kg viazi mviringo
1 pilipili hoho ya kijani
1 karoti kubwa
1 kitunguu maji cha ukubwa wa kati

NATURAL FACIAL MASK TO FADE AGE SPOTS AND WRINKLES

HOW TO GET RID OF WRINKLES NATURALLY

Steps
Get Rid of Wrinkles Naturally Step 1.jpg

1 Use grape seed oil. It has epidermis (skin) moisturizing and nourishing properties. It is especially efficient for maintenance of the epidermis around the eyes and in the maintenance of scars. This normal ingredient allows to combat wrinkles and rejuvenate the epidermis. Grape see oil is full of anti-oxidants such as proanthocyanidins, which help in reversing the loss of growing older. That is why many women use grape seed oil for wrinkles. If applied on dry epidermis, it keeps the epidermis moisturized, and as everybody knows, moisturized epidermis is less likely to get wrinkles than a dry one.

START YOUR OWN ONLINE BUSINESS

 Many people are working online especially during this time of CoronaYou can do this also if you have a will.  Register for a Free Live Webi...