Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2015

RABA AINA YA ADDIDAS KWA WANAWAKE

THE WARDROBE: SANDALS KUTOKA KWA ANNA FIELD

THE WARDROBE: AFRICAN PRINT DESIGNS

HAPPY BIRTHDAY CARL XVI GUSTAF, THE KING OF SWEDEN

Carl XVI Gustaf, the King of Sweden, was born on 30 April 1946 at Haga Palace. He is son of then Crown Prince Gustaf Adolf and Princess Sibylla of Sachsen-Coburg-Gotha. He was baptised at the Palace Church on 7 June 1946 and named Carl Gustaf Folke Hubertus.

HAPPY WALPURGIS/ TREVLIG VALBORG!

Jijini Stockholm nchini Sweden,tunajiandaa kwenda kwenye  uwashaji  moto mkubwa kusherehekea walpugris au “valborg”,kama wenyewe Waswidi wanavyoita. Sherehe hii inaashiria  kumalizika kwa msimu wa baridi na kuingia katika msimu wa spring.
TREVLIG VALBORG!

ROSES IN DIFFERENT COLOURS

red roses

TOP 10 BEST AIRPORTS IN THE WORLD

1. Singapore Changi Airport, Singapore

VIDEO: ANGALIA IN MY SHOES YA WEMA SEPETU S02EP19 NA S02EP20

THE KITCHEN: ANGALIA JINSI UNAVYOWEZA KU-DESIGN JIKO LAKO

THE BEDROOM: MPANGILIO WA SAMANI KATIKA CHUMBA CHA KULALA

13 HEALTH BENEFITS OF ORANGES

1. Helps Prevent Cancer Oranges are rich in citrus limonoids, proven to help fight a number of varieties of cancer including that of the skin, lung, breast, stomach and colon.
2. Prevents Kidney Diseases Drinking orange juice regularly prevents kidney diseases and reduces the risk of kidney stones.

THE WARDROBE: AFRICAN PRINT STYLES

Vintage style dress

MKOBA WA KIKE KUTOKA KWA BELMONDO

KALI YA SIKU!

THE KITCHEN: ANGALIA JINSI UNAVYOWEZA KU-DESIGN JIKO LAKO (WHITE KITCHEN)

THE WARDROBE: AFRICAN PRINT STYLES

10 BEST LUXURY HOTELS IN AFRICA

1. Palais Namaskar, Marrakech, Morocco

10 MOST PEACEFUL COUNTRIES IN THE WORLD

1. Denmark
2. Norway


THE LIVING ROOM: FABRIC SOFA

MKOBA WA KIKE KUTOKA KWA KIOMI

THE LIVING ROOM: MITO YA KUTUPIA KWENYE MAKOCHI

5 FOODS FOR NATURALLY GLOWING SKIN

1:Dark Green Leafy Vegetables
Adding them to your daily diet is one of the easiest ways to enhance the skin’s natural radiance. Loaded with antioxidants, essential vitamins and nutrients, dark green leafy vegetables such as spinach, Swiss chard, arugula help rid our skin of dullness and endow us with glowing skin. 2: Kiwi
Speaking of food for healthy skin, kiwis are true skin-savers! High on Vitamin C content, it protects our skin against the onset of wrinkles and boosts collagen synthesis. In fact, any Vitamin C-rich food such as guavas, oranges, bell peppers, grapefruit, strawberries etc. will do the trick. Vitamin C has multiple benefits for our skin including protecting it from sun damage and promoting cell turnover, thus preserving the youth and beauty of our skin.
3. Wild Salmon & Nuts

Food rich in Omega-3 fatty acids are essential for providing skin with a healthy dose of natural oils (good fats) that in turn reduces inflammation, acne, scaly skin and redness. We can acquire smo…

THE WARDROBE: AFRICAN PRINT STYLE

THE BEDROOM: THIS IS HOW YOUR BEDROOM CAN LOOK LIKE

THE LIVING ROOM: QUALITY TV SHELVES

This is how your TV shelf can look alike. Not only quality but also classy!


THE LIVING ROOM: COFFE TABLE DESIGNS

This is how your sitting room can look like!


THE DINING ROOM: DINING ROOM FURNITURE

Versace dining table

THE LIVING ROOM: LEATHER SECTIONAL SOFA KATIKA RANGI MBALIMBALI NA MPANGILIO WAKE

THE BATHROOM: SMALL BATHROOM DESIGNS

THE KITCHEN: ANGALIA JINSI UNAVYOWEZA KU-DESIGN JIKO LAKO

THE WARDROBE: TOKELEZEA KITANASHATI KWA KUPANGILIA MAVAZI YAKO NAMNA HII

MANUKATO KWA WANAUME

SHOPPING BAG KUTOKA KWA EVEN & ODD

KALI YA LEO!

Hivi utajisikiaje unapokuwa umepewa lifti kwenye gari halafu mmefika kwenye taa za barabarani na kukuta taa ya kijani inawaka. Mwenye gari ambaye ni dereva anakuuliza wewe ambaye ni abiria, “hivi taa ya kijani inamaanisha nini”?

GINGER JUICE BENEFITS

1. Anti Inflammatory One of the most effective uses of ginger is that it acts as an anti-inflammatory agent that helps reduce joint inflammations. A study shows that people who consume ginger juice have less pain and other inflammatory diseases as it contains antioxidants which help to increase the flow of fresh blood by removing harmful impurities in the body. 2. Prevents Cancer Ginger acts excellently for preventing cancer and also killing the cancer causing cells. In a study, it was found that ginger slows down the growth of breast cancer cells.

THE WARDROBE: CREATIVITY IN AFRICAN PRINT

AFYA: FAIDA YA PILIPILI MANGA( BLACK PEPPER)

Pilipili manga ina faida nyingi sana kiafya katika mwili wa binadamu. Ni nzuri kutumia unga wa pilipili manga katika chakula aidha wakti unapika au kuongezea katika chakula kilichopikwa. Baadhi ya faida hizo ni:
Inasaidia katika kupunguza uzitoInasaidia katika usagwaji wa chakula Inazuia saratani hususan saratani ya matitiInatibu mafua.Nyunyizia unga wa pilipili manga katika supu ya motoHusaidia watu wenye anorexia: Pilipilimanga ni inajulikana kuboresha usagwaji wa chakula na kuongeza hamu ya kulaInaweza kutumika kama njia ya kuzuia uzazi kwa wanawakeInasaidia kutibu magonjwa yanayosababishwa na bakteriaInasaidia kuimarisha afya ya meno hususan kuzuia kuoza kwa menoInaondoa mikunjo(wrinkles)

THE WARDROBE: AFRICAN PRINT DESIGN

Ili upendeze shepu nayo inachangia sana tu. Hebu waangalie hawa hapa chini.


THE GARDEN: AMAZING OUTDOOR FURNITURE

THE BEDROOM: MPANGILIO WA SAMANI KATIKA CHUMBA CHA KULALA

THE WARDROBE: DASHIKI MAXI SKIRT