Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2015

WAMETOKELEZEAJE SASA!

PICHA YANGU LEO

Hii ndiyo alama ya taifa letu.Twiga!
Huyu ni mnyama mpole na mwenye mwendo wa madaha.Akitembea hutatamani kuacha kumwangalia.Ama kweli Tanzania tuna utajiri uliotukuka.

Diamond Platnumz Ft Mr Flavour - Nana

THE WARDROBE:AFRICAN PRINT DESIGNS

THE KITCHEN: KITCHEN DESIGNS FOR SMALL KITCHEN

ISIDINGO THE NEED,TAMTHILIYA YENYE UTAMU WAKE

Kwa wale mnaoangalia tamthiliya ya Isidingo the need kama mimi, mna nini la kusema juu ya ndoa ya Katlego na Lincoln Sibeko.Je,ndoa hii itadumu?
Tamthiliya imenoga kwasasa kwani nina shauku kubwa ya kujua nini kitatokea next.Baker Haines atafanya nini baada ya kupata taarifa za ndoa ya Katlego? Maswali na shauku ni kubwa.Tuendelee kuangalia tuone nini kitatokea.
Lincoln Sibeko & Katlego

MAKE UP INAPOKAA MAHALI PAKE

TURMERIC FACE MASK RECIPE

I LOVE THESE BACKYARDS!

DESIGNS ZA MAPAZIA YA JIKONI

KAJALA EXCLUSIVE ON THE SPORAH SHOW

THE KITCHEN: JINSI YA KU-DESIGN JIKO NA UPANGILIAJI WAKE

Mandhari nzuri ya nyumba huchangiwa na vitu vingi ikiwamo na mpangilio mzuri wa jiko. Jiko hutakiwa kujengwa kukidhi mahitaji yote ya jikoni. Kila kitu hutakiwa kuwa mahali pake,kuanzia vyombo hadi mashine ndogo za jikoni.Unaweza ukawa umejengewa jiko vizuri sana ila wewe mwenyewe usiwe na uwezo wa kupanga vitu vyako vizuri ukaweka sufuria hapa,sahani pale,blender hapa,matunda yametapakaa tu kwenye meza za jikoni, vyombo vichafu vimejaa tele katika sinki, ili mradi mtu akiingia anaona kama vile yupo stoo badala ya jikoni.Jikoni kunatakiwa kuwe safi muda wowote na ikibidi mtu akiingia asijue kabisa mmekula nini!Maana kuna majiko ukiingia unajua kabisa hawa leo wamekula samaki n.k! Unaweza usisikie harufu bali kukawa na mabaki labda katika sinki au vyote kwa pamoja ( yaani mabaki na harufu).
Angalia picha zifuatazo utaona jinsi jiko linavyotakiwa kuonekana muda wote.Kazi kwako! 


MITI INAYOFAA KUPANDWA KATIKA MAZINGIRA YA NYUMBA YAKO

apple tree

HOME DECOR: BATHROOM/TOILET DESIGNING IDEAS

THE LIVING ROOM: DESIGNS ZA CORNER SOFA NA MPANGILIO WAKE

THE DINING: BLACK DINING SET

GUMZO MTANDAONI: WAKILI WA KENYA KUTOA POSA KWA MALIA OBAMA

Taarifa kuwa wakili mmoja wa kenya amesema yuko tayari kutoa mahari kwa mtoto wa raisi wa Marekani,Barrack Obama zimeenea duniani kote Felix Kiprono amesema yuko tayari kutoa ng'ombe 50,kondoo 70 na mbuzi 30 kwa ajili ya mahari ya mtoto wa Obama,Malia Obama.Hivyo anajiandaa kuzungumzia swala hilo na baba wa mtoto huyo atakapo tembelea Kenya ,mwezi Julai.
CHANZO: BBC

KIDS FASHION: KIDLICIOUS

GLAMOUR LOOKS:COLOUR COMBO

THE KITCHEN: ANGALIA JINSI UNAVYOWEZA KU-DESIGN JIKO LAKO

THE BEDROOM: AINA ZA LEATHER BEDS NA MPANGILIO WAKE

HOME DECOR: DESIGNS ZA MAPAZIA

THE DINING ROOM: WHITE DINING SETS

THE WARDROBE: AFRICAN PRINT DESIGNS

THE WARDROBE: AFRICAN PRINT DESIGNS

HOME DECOR: SHOWER CURTAINS

Shower au bathroom curtains ni vyema ziendane na rangi zilizomo bafuni kwako kuleta mvuto.Mimi binafsi huzingatia hili.
Ukiangalia picha nilizokuwekea utaelewa zaidi hivyo chukua muda wako kuangalia ili ulete mabadiliko makubwa bafuni kwako.HOME DECOR: DESIGNS ZA MAPAZIA NA UWEKAJI WAKE

Ili pazia ipendeze katika dirisha ni lazima iwe na ukubwa wa kutosha.Mfano, kama dirisha lako lina upana wa meta 1 weka vipande viwili vya pazia kila kimoja kiwe na ukubwa wa 11/2m. Hii itafanya pazia liwe na mikunjo ambayo ndiyo huleta mwonekano unaovutia. Vilevile kwa pazia za sebuleni na chumba cha kulala zinapendeza zikiwa ndefu.Zikining´inia kwa kweli hazileti mvuto kabisa.
Nitawaletea vidokezo vingine kuhusu mapazia katika makala zijazo.

Pazia katika sebule inatakiwa kuwa na urefu huu

THE WARDROBE: AFRICAN PRINT DESIGNS

MÅNS ZELMERLÖW FROM SWEDEN WINS EUROVISION SONG CONTEST 2015

GLAMOUR LOOKS: WEST AFRICA STYLE

WEMA SEPETU ROCKS IN MAXI DRESS

PICHA: RED CARPET YA TUZO ZA WATU

Kwa picha zaidi bonyezaread more

YALIYOJIRI KATIKA TUZO ZA WATU 2015

Tuzo za watu zilifanyika usiku wa jana tarehe 21 mei 2015 katika hoteli ya Hyatt Regency. Angalia baadhi ya picha za washindi na za tukio hilo hapa:

UREMBO: GOING NATURAL

CONTAINER GARDENING: OTESHA MAUA YAKO KIUBUNIFU NAMNA HII

Angalia hapa kujifunza ubunifu ambao hata wewe unaweza kuutumia na kubadilisha kabisa mazingira ya nyumba yako. Hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu.Kila kitu tunajifunza, na kila siku tupo darasani!


DIRA YA DUNIA JUMATANO 20.05.2015

LULU ROCKS IN A DASHIKI OUTFIT

MWIGIZAJI WA BONGO MOVIE AUNTY EZEKIEL AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Kwenye akaunti yake ya instagram aunty ameandika hivi: Amin ktk Mungu ndio Mwisho wa Matatizo yote yaliyotuzunguka Hakuna mganga wala Mchawi pasipo Mungu.Ahsante Mungu wang kwa kunikabidhi zawadi yang Asubuhi jana tar 21-05-2015 Muache yy atende kwani ndio nguzo yetu sote Nasema Ahsante tena Ahsante kwa zawadi hii kubwa ktk Maisha kwani ilikuwa ni kipindi kigumu chenye majaribu ya kila aina kupitia binaadamu wajizaniao wao ni miungu watu Bac endelea kunyoosha mkono wako ktk paji la kiumbe wako ukiwa kama kinga nami niwe kivuli tuu juu yake Amen Whn Jesus Say Yes Ni body can Say wht!!!!!!!Wlcm Baby Cookie wlcm 2 da world KIBOKO.

HONGERA SANA AUNTY KWA KUPATA BABY GIRL.

AFYA: FAIDA YA MAFUTA YA NAZI

Fatty acids zilizomo katika mafuta ya nazi husaidia  kuimarisha uwezo wa ubongo kwa wagonjwa wa Alzheimer.
Mafuta ya nazi yanasaidia kuondoa mafuta mwilini hususan mafuta hatari yaliyo tumboni.Hii huweza kufanyika kwa kuweka mafuta ya nazi katika chakula.
Watu wanaokula sana nazi ndiyo watu wenye afya bora duniani.

THE DINING ROOM: SAMANI ZA DINING ROOM NA MPANGILIO WAKE

GLAMOUR LOOKS: WEST AFRICA STYLE-LACE COMBINATION

THE BEDROOM: AINA ZA LEATHER BEDS NA MPANGILIO WAKE

Vitanda vya leather au ngozi navyo vina mvuto wake,muhimu upate design na ukubwa unaolingana na chumba chako. Angalia picha zifuatazo kuona designs mbalimbali:


THIS IS HOW LUPITA NYONGO MADE THE HEADLINES AGAIN

Lupita Nyongo made an eye-catching appearance at the opening of the Cannes film festival – in a spectacular green dress.She wows in a green this time! Lupita rocked in a jade green pleated Gucci gown with floral embellishments and a plunging neckline. Nyong'o looked as elegant as ever, pairing her gown with a gold headband and Chopard drop earrings and rings.
For more photos clickread more

MKOBA WA KIKE KUTOKA KWA TOM TAILOR

THE WARDROBE: I LOVE THE COMBO

USHAURI WA KUFUATA KABLA YA KUNUNUA MANUKATO(PERFUME)

Manukato huwa hayakupi harufu halisi muda unapoyapaka.Huleta harufu halisi kulingana na ngozi yako baada ya muda. Unaponunua manukato zingatia muda wa kutumia mfano manukato yenye harufu kali yatumike jioni nayale yenye harufu isiyo kali(citrus) yatumike mchana.
ZINGATIA HAYA UNAPOTAKA KUNUNUA MANUKATO