Tuesday 30 June 2015

THE LIVING ROOM: SAMANI ZA SEBULE NA MPANGILIO WAKE


Uzuri wa sebule si tu  kuwa na samani (furniture) nzuri bali ni mpangilio mzuri wa samani hizo.Unaweza kuingia katika sebule ukasikia kichwa kinakuuma kwa msongamano wa vitu. Hivyo mdau, unaweza ukawa na sofa 2 tu na sebule yako ikawa maridadi sana.Vilevile unaweza ukawa na samani za bei rahisi lakini mwonekano wa sebule lako ukamshinda Yule mwenye samani za gharama.

Hebu angalia picha zifuatazo kuthibitisha hili.



KWA WANAWAKE: MANUKATO AMBAYO HUTAJUTIA KUWA NAYO!



Monday 29 June 2015

MONEY PLANT-MIMEA UNAYOWEZA KUWEKA NDANI YA NYUMBA YAKO




THE KITCHEN: JIKO KATIKA RANGI MBALIMBALI



Jiko linaweza kupendeza haijalishi utapaka rangi gani.Kikubwa ni kujali mpangilio wa rangi hizo. Kwa kuthibitisha hili,angalia picha zifuatazo:



THE WARDROBE:GLAMOUR LOOKS FROM WEST AFRICA

891464_706680379445720_874201700_n

AFYA: FAIDA YA JUISI YA KOMAMANGA






    1. Huweza kuzuia maendeleo ya saratani ya mapafu.
    2. Hupambana na saratani ya matiti
    3. Hupunguza ukuaji wa saratani ya kibofu
    4. Inaweza kuzuia na kupunguza kasi ya ugonjwa wa Alzheimer
    5. Inapunguza kolesterol
    6. Hushusha shinikizo la damu
    7. Hulinda meno


    1. Inasemekana ukinywa juisi ya komamanga (pomegranate) nusu lita kila siku kwa muda wa mwezi mmoja, inasaidia kupunguza mafuta tumboni kwa wale wenye vitambi. Jitahidi kuwa na matumizi ya haya matunda unufaike na uboreshe afya yako.

Wema Sepetu Interview Part IV kuhusu Mtoto na Diamond, ujauzito wa Zari,...

Thursday 25 June 2015

HONGERA MILLEN MAGESE KWA TUZO ZA BET!



Tuna kila sababu ya kumpongeza mlimbwende wetu kutoka Tanzania kwa tuzo hizi za BET. Hii inaonyesha wazi kuwa harakati zake  zinatambulika na dunia.
Linapokuja swala linalohusu kuweka Taifa katika ramani hatuna budi wote kujivunia utanzania wetu kwa kumwagia pongezi yule ambaye amesababisha kupeperusha bendera yetu.
Tumpe ushirikiano wa kutosha Millen katika harakati zake hizi za kupambana na endometriosis.

Hongera sana Millen na tunayo fahari kujivunia wewe!




Tuesday 23 June 2015

HARAKATI ZA KUNUNUA FUTARI JIJINI TANGA

Wauzaji futari sasa hivi ndiyo msimu wao wa kuchuma.Kila kitu kinauzwa ghali kwasasa kuanzia ndizi mbichi,mihogo,magimbi,viazi vitamu n.k.
Bila kusahau kiungo muhimu,nazi!
Tafadhali wauza futari tuuze vyakula vyetu kwa bei zinazoridhisha ili tusiwakwaze wanaofunga.

UREMBO: LIPSTICK APPLICATION

Ombre lips (Tip: Prime your lips first and/or dab a bit of concealer over them for more pigmented color) Steps: Line your lips, place your lighter color lipstick in the middle of top and bottom lips, press your lips together to spread color evenly, and fill in surrounding light color with darker lipstick or the liner you used. Press lips together again and you are done. For added shine dab a touch of clear lipgloss in the middle of your lips and pat them together.

Ombre lips (Tip: Prime your lips first and/or dab a bit of concealer over them for more pigmented color)
Steps: Line your lips, place your lighter color lipstick in the middle of top and bottom lips, press your lips together to spread color evenly, and fill in surrounding light color with darker lipstick or the liner you used. Press lips together again and you are done. For added shine dab a touch of clear lipgloss in the middle of your lips and pat them together.

UREMBO:SMOKEY EYES

Different eye shapes can really have an effect on how your smoky eye looks, so we built out this guide of tutorials just for you! Follow these instructions for getting the perfect smoky eye for your eye shape.

MITINDO:KIKWETU KWETU NA AFRICAN PRINT STYLES

Vlisco Splendeur collection #print #ankara

Sunday 21 June 2015

KALI YA SIKU

THE WARDROBE: AFRICAN PRINT STYLES

Kweli kwasasa ni ubunifu tu unatembea. Hebu angalia hapa jinsi "sweat shirts" zilivyochanganywa na african print! Zimependeza kwa kweli. Na mimi nitautumia ubunifu huu.

Ankara sweatshirt ~Latest African Fashion, African Prints, African fashion styles, African clothing, Nigerian style, Ghanaian fashion, African women dresses, African Bags, African shoes, Nigerian fashion, Ankara, Kitenge, Aso okè, Kenté, brocade. ~DKK

SHINDA ZAWADI NA RAINBOW-TZ BLOG!

  
Shindano la blog kuanza tarehe 24 juni 2015 mpaka 23 juli 2015. 
Shiriki kila siku kwa muda wa siku 30 ili kushinda!!

Vigezo na masharti kuzingatiwa.



PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...