Monday, 8 June 2015

THE GARDEN: OUTDOOR FURNITURES

Nyumba inatakiwa kuwa na mazingira ya kupendeza, siyo ndani tu, bali hata nje. Vitu vingi vinasaidia katika kupendezesha mazingira ya nyumba na moja ya vitu hivyo ni samani (furniture), unazoweza kuweka nje, iwe katika baraza, au bustani.Samani hizi zipo za aina na gharama mbalimbali kulingana na uwezo wa mtu.Kupata uelewa wa samani hizo na uwekaji wake,angalia picha zifuatazo: