Sunday 26 July 2015

THE GARDEN:AINA ZA PALM TREES NA MAJINA YAKE

Nimekurahisishia kazi wewe unayependa mazingira yanayozunguka nyumba yako. Unaweza kutafuta palm tree unayopenda kwa kutumia jina lake halisi.
Angalia picha za palm trees na majina yake hapa chini:

Archontophoenix alexandraeAreca triandra
Alexander Palm

THE WARDROBE: AMETOKELEZEA

#shop.product.images.alt.she

NYUMBANI NI NYUMBANI: ZIARA YA RAISI OBAMA NCHINI KENYA

U.S. President Barack Obama inspects the honor guard after arriving to meet with Kenya's President Uhuru Kenyatta at State House in Nairobi, Kenya, Saturday, July 25, 2015. U.S. President Obama heralded Africa as a continent "on the move", as he visits Kenya  Saturday, the East African nation where he has deep family ties. (AP Photo/Ben Curtis)
Rais Obama akikagua gwaride

MSHINDI WA SHINDANO LA BLOG!

Wasomaji wetu,mshindi wa shindano la blog amepatikana,na si mwingine bali ni MARIA GEORGE.
Hongera sana Maria. Tutawasiliana na wewe kujua jinsi ya kukupatia zawadi yako.
Asanteni sana wengine wote kwa kushiriki na msisite kujitokeza tena kushiriki wakati mwingine.

Friday 24 July 2015

SHINDANO LA BLOG: SWALI LA THELATHINI(30)

Je, unaweza kuweka baa ndogo (mini bar) kama nyumba yako ni ndogo au ni mpaka uwe na nyumba kubwa?

wasomaji, hili ndiyo swali la mwisho.Mshindi tutamtangaza hapahapa.Hongereni wale wote mlioshiriki.

Thursday 23 July 2015

Tuesday 21 July 2015

ITALIAN WONDERPORT

vegetable bouillon
Stock ya mbogamboga
pasta vegetables

Weka 1/2 ya spinachi katika sufuria.Kata kata vitunguu vipande vyembamba vya mviringo pamoja na kitunguu thoumu.Weka nyanya ya kopo
herbs
Weka viungo hivi unavyona hapo juu,1/2 kijiko cha chai  basilika na 1/2 kijiko oregano, 1/4 kijiko cha chai pilipili mtama
Italian Wonderpot - Budget Bytes
Katika sufuria, mchanganyiko wako utaonekana hivi.Anza kupika ukiwa umefunika

boiling
Ikianza kuchemka ,ondoa mfuniko,Wacha ichemke kwa dakika 10-15 ,au mpaka maji yakauke.Koroga kila baada ya muda kuzuia pasta zisigande
cooked wonder pot
Mwonekano wa pasta zilizo tayari kuliwa
 Credit toBudgetbytes

THE WARDROBE: PANGILIA MAVAZI YAKO NAMNA HII

LOLO Moda:      "FALL 2014" by arjanadesign on Polyvore

MKOBA WA KIKE KUTOKA KWA TOPSHOP

  

SHINDANO LA BLOG: SWALI NAMBA ISHIRINI NA SABA (27)

Mito ya kutupia kwenye makochi inaweza kuwa ya rangi mbalimbali.Ndiyo/Hapana

Saturday 18 July 2015

EID MUBARAK!



Rainbow-tz inawatakia waislamu wote duniani heri ya sikukuu ya eid.
Tusherehekee sikukuu hii kwa kuonyesha upendo, huku tukiwakumbuka wale wenye uhitaji.

Eid Mubarak!


Friday 17 July 2015

THE GARDEN: OUTDOOR FURNITURE



UREMBO VIDEO: CHUKUA UJUZI WA KUTENGENEZA NYUSI

Katika kipengele cha urembo video tutakuwa tunawawekea video tofauti zinazoelekeza kuhusu urembo mbalimbali,iwe nywele, vipodozi n.k.

Siku hizi katika ulimwengu huu wa utandawazi na teknolojia kila kitu unaweza kujifunza mwenyewe, kikubwa uwe na nia ya kufahamu kitu. Haya twende kazi!

TANZIA: MSANII BANZA STONE (RAMADHANI MASANJA) AFARIKI DUNIA

Banza stone, enzi za uhai wake

Staa wa Muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefariki dunia mchana huu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kaka wa marehemu aitwaye Hamis amethibisha msiba huo.
Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Banza alikuwa anasumbuliwa na fangasi waliokuwa wanamshambulia kichwani (ubongo) na shingoni.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN
CHANZO: GPL

SHINDANO LA BLOG

Kwa wote mnaoshiriki shindano la blog hongereni sana.Utaratibu ni kuwa hatujibu  chochote kama umepatia kujibu swali. Kila la heri kwenu wote.

Anna

Mmiliki wa blog

THE LIVING ROOM: JINSI UNAVYOWEZA KUCHANGANYA MITO YA KUTUPIA KATIKA MAKOCHI



SHINDANO LA BLOG: SWALI LA ISHIRINI NA NNE (24)


Mapango ya Amboni apo katika mkoa gani?

RANGI NA AINA MBALIMBALI ZA BRA




NYX BUTTER GLOSS



Intense butter gloss

THE WARDROBE: DENIM SHIRT-DRESS


I’m always a little on the fence about shirtdresses, as popular as they are. But this one from Everlane ($68), as seen on the blog Sincerely Jules, is pretty darn cute.

UREMBO: UREMBESHAJI WA NYUSI KWA KUTUMIA EYEBROW KIT






PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...