Tuesday, 21 July 2015

ITALIAN WONDERPORT

vegetable bouillon
Stock ya mbogamboga
pasta vegetables

Weka 1/2 ya spinachi katika sufuria.Kata kata vitunguu vipande vyembamba vya mviringo pamoja na kitunguu thoumu.Weka nyanya ya kopo
herbs
Weka viungo hivi unavyona hapo juu,1/2 kijiko cha chai  basilika na 1/2 kijiko oregano, 1/4 kijiko cha chai pilipili mtama
Italian Wonderpot - Budget Bytes
Katika sufuria, mchanganyiko wako utaonekana hivi.Anza kupika ukiwa umefunika

boiling
Ikianza kuchemka ,ondoa mfuniko,Wacha ichemke kwa dakika 10-15 ,au mpaka maji yakauke.Koroga kila baada ya muda kuzuia pasta zisigande
cooked wonder pot
Mwonekano wa pasta zilizo tayari kuliwa
 Credit toBudgetbytes