Saturday, 28 November 2015

KALI YA SIKU

Mhindi aliambiwa amalizie methali za Kiswahili

1.Nyani haoni - valise miwani

2.Debe tupu - weka dengu

3.Maskini akipata - itaacha iba jumbani

4.Penye kuku wengi -Chinja bili au tatu

5.Asiyesikia la mkuu -Peleka yeye polisi

6.Penye wengi - iko kutano ya CHADEMA

7.Asiekubali kushindwa - hio itakua CCM

8.Bandu bandu - Baba yake Somji iko Bombay

9.Simba mwenda kimya - hiyo iko Jangwani bhanaa naogopa Yanga tuu

10. Mstahamilivu- Maalim Seif miaka isirini nasinda lakini hakui rais

Thursday, 26 November 2015

LIONEL RICHIE AKILA BATA

Nguli wa muziki duniani,Lionel Richie,akila bata na mpenzi wake aitwae Lisa Parigi ambae ni mwanamitindo

Monday, 16 November 2015

PARTY DRESSES

Charming   Hollow Out Lace Party-dress

NIMEPENDA HII KUTOKA KWA DINA MARIOS


Dina Marios
Maisha haya kila mmoja anasafari yake namna atakavyo anza na namna atakamaliza ni Mungu ndio anajua.Kwa mfano kuna mtu atamaliza chuo akiwa na miaka 20 ata struggle kwa miaka 5 kupata kazi.Mwingine atamaliza akiwa na miaka 25 na akapata kazi mapema tu baada ya kumaliza chuo.Mwingine anaweza kuolewa bikira na kusubiri miaka 10 kupata mtoto..mwanamke mwingine alotoa mimba kibao huko nyuma anaolewa na kushika ujauzito hapo hapo.Jamaa mmoja anakuwa MD katika kampuni akiwa na miaka 38 na kufariki akiwa na miaka 56,jamaa mwingine anakuwa MD akiwa na miaka 50 na anaishi mpaka miaka 90.

MVUA KUBWA ZASABABISHA WATU KUKIMBIA MAKAZI YAO JIJINI TANGA

Thursday, 12 November 2015

START YOUR OWN ONLINE BUSINESS

 Many people are working online especially during this time of CoronaYou can do this also if you have a will.  Register for a Free Live Webi...