Tuesday, 12 April 2016

Tencel Chiffon Silk Scarf

Silk scarf ndiyo mpango mzima na si mbaya ukawa nazo chache kabatini kwako.

UREMBO WA KUCHA

Kucha nazo zipo za kubandika Kwa wanaopenda.Kwa wale wanaopenda urembo huu angalia picha:

BEAUTIFUL LOOKS!WHICH ONE DO YOU LIKE?

Wanawake pesa zetu zinaishia kwenye urembo!Ndiyo maana kuna usemi kuwa "HAKUNA MWANAMKE MBAYA DUNIANI" kwani urembo unapatikana dukani! Mtu hujiremba kwa kutumia urembo mbalimbali,zikiwemo rangi za mdomo (lipstick), wanja, wifi,kope za bandia n.k.Vyote hivi hupatikana kwa bei ya chini na kwa bei ya juu vilevile.Mtumiaji hununua kulingana na kipato chake.
Angalia picha zifuatazo kuuona urembo!

JEANS FOR MEN!

Jeans ni vazi lisilomtupa mtu.Ni vazi ambalo wengi wetu huwa halikosekani makabatini mwetu.Zipi suruali,mashati,jackets na kaptula kwa wanawake,wanaume na watoto. Kwa wanawake kuna magauni pia.
Tuangalie jeans kwa wanaume katika mitindo tofauti.

I LOVE THE DRESSES!

Mimi hupenda nguo za pamba (cotton) asilimia 100.Hunifanya nijisikie fresh siku yote.Nimezipenda hizi gauni.

SLIP-INS SNEAKERS!

Nimezipenda hizi sneakers na nimeongeza katika collection yangu!

Sunday, 10 April 2016

THE LIVING ROOM: MITO YA KUTUPIA KATIKA MAKOCHI ILIYOTENGENEZWA KWA AFRICAN PRINT




FOR SUNGLASSES LOVERS!

Mimi ni mpenzi sana wa miwani na huwa ninanunua tu bila kujali tayari nina ngapi.
Msimu wa joto unaanza huku ninakoishi ni harakati za kubadilisha kabati kwendana na msimu ujao.
Tuangalie baadhi ya miwani nilizonazo tayari kwa msimu na ninazotarajia kuwa nazo!


Thursday, 7 April 2016

I LOVE THESE WOMEN SCARVES

Scarf huongeza mvuto katika mavazi yako,inategemea nini umevaa. Mimi hupenda kutupia scarf tofauti.Tuangalie aina tofauti za scarves.

START YOUR OWN ONLINE BUSINESS

 Many people are working online especially during this time of CoronaYou can do this also if you have a will.  Register for a Free Live Webi...