Tuesday 31 May 2016

I LOVE SHORT HAIR STYLE

Nywele fupi zina raha yake hasa katika kipindi hiki cha majira ya joto.Kwasasa hata mimi nina nywele fupi na ninazifurahia sana!
Waone hawa walivyopendeza.

KALI YA SIKU

Thursday 19 May 2016

THE GARDEN:NIMEZIPENDA BUSTANI HIZI

EPOXY METALLIC FLOOR

Unapojenga nyumba ikiisha huwa linakuja swala la kuchagua unataka sakafu (floor)gani?Wengine hupenda tiles,mbao,tarazo nk
Hii inatokana na mapenzi yako pamoja na bajeti yako.
Tuangalie sakafu aina ya epoxy metallic.

Monday 9 May 2016

AFRICAN PRINT HANDBAGS!

Ni swala la ubunifu tu.

THE WARDROBE:MAVAZI YA KAZINI

KazinI ni sehemu ambapo ni lazima uonekane mtanashati. Kwa wale ambao wanavaa uniform kwao ni rahisi kwasababu ni aina moja ya mavazi ambayo wanatumia, kikubwa kwao ni usafi tu.Kwa wale wanaovaa uniform kwao ndiyo kazi ipo kwani wanatakiwa kuwa wabunifu kila siku ili waonekane watanashati.Tuangalie baadhi ya mpangilio wa nguo za ofisini katika picha.

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...