Friday 30 September 2016

THE BEDROOM: DUVET ZA KIJANJA

Nimezipenda duvet hizi kwani zimeshonwa kibunifu zaidi.Kwa uzuri wa duvet hizi mtu hutatamani kutoka chumbani.

Thursday 22 September 2016

JIJI LA STOCKHOLM LIKIENDELEA KUJENGWA

Mji wa Stockholm umekuwa ukijengeka kila kukicha sababu ya kuwa na wakazi wengi hivyo makazi kutokukidhi idadi ya wakazi.
Wenzetu wana mpangilio mzuri kwani kila wanapojenga makazi wanahakikisha wanaweka  mahitaji yote muhimu kama supermarkets,migahawa, maduka ya dawa,maduka ya nguo n.k ili kuwa vuta wakazi na kuwa punguza adhabu ya kwenda kufanya mnunuzi mbali.
Kwa kufanya hivi mtu unaweza kuishi popote.
Na sisi tujifunze kupanga miji yetu na hii kwani itasaidia kupunguza misongamano barabarani.

Saturday 10 September 2016

PICHA:TETEMEKO LA ARDHI MIKOA YA MWANZO, KAGERA.MUOAJI NA MARA

Tetemeko la ardhi limeleta taharuki kwa wakazi wa mikoa ya Mwanza, Kagera na Mara.
Tetemeko hili kilitokea majira ya saa tisa alasiri.
CHANZO: ITV

Chini ni baadhi ya picha zikionyesha baadhi ya Madhara yaliyotokea

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...