Wednesday, 30 November 2016

TAMBI ZA DENGU


a)unga wa dengu 1/2kg
b)unga wa mchele 1/4kg
c)baking powder 1tbsp
d)pilipili manga ya unga robotatu tbsp
e)uzile wa unga 1tbsp
f)chumvi kiasi
g)mafuta ya alizeti 1/2 lita
h)maji
1.kwenye bakuli kubwa changanya unga wa dengu,wa mchele,uzile,pilipili manga,chumvi na baking powder
2.weka maji taratibu huku unakanda hadi upate donge gumu kiasi
3.funika donge kwa dak30
4.weka mafuta kwenye karai bandika jikoni yapate moto
5.chukua mashine ya tambi weka donge kisha kandamiza taratibu huku ukiruhusu minyororo ya tambi kuingia kwenye mafuta,kaanga tambi hadi ziwe rangi nzuri.fanya ivo hadi umalize donge lote
CHANZO:Facebook -MAPISHI fasta

Thursday, 17 November 2016

BED COVER ZA SATIN

Material ya satin hupendeza sana pale inaposhonwa vizuri hasa kwa bed cover.Kitanda huwa na mvuto wa aina yake.Angalia bed cover katika picha zifuatazo:

EVERSHEEN COCOA BUTTER

Ever Sheen cocoa butter hand and body lotion and Ever Sheen cocoa butter cream for softer,younger feeling skin.
Ni products nzuri kwa ngozi.Hazichubui bali zinalainisha ngozi na kuipa ngozi yako mwonekano wake wa asili

Wednesday, 16 November 2016

Sunday, 13 November 2016

HOME MADE DEODORANT

HOME MADE DEODORANT / JINSI YA KUTENGENEZA DEODORANT NYUMBANI :

Mahitaji :

3/4 kikombe mafuta ya nazi safi
1/2 kikombe corn starch au corn flour
1/2 kikombe baking soda  (BICARBONATE OF SODA )

Maelezo :

Changanya mahitaji yote kwa pamoja katika  bakuli. Kisha mimina katika kikopo kisafi na kikavu na weka sehemu yenye ubaridi au katika fridge ili igande. Unatumia kama deodorant zingine.
Inaondoa weusi katika makwapa na kukata harufu mbaya ya kwapa na kupunguza kwa jasho kutoka kwa wingi.
Hata kama haijaganda ni sawa tu. Tumia hivyo hivyo.
Unatumia tu kama deodorant za madukani.

BY MAPISHI RAHISI NA FASTA FASTA.

NIMEIPENDA HII: DEFINITION YA MWANAUME ANAEJIAMINI

Wednesday, 9 November 2016

BARAFU INAANGUKA KWA WINGI LEO JIJINI STOCKHOLM,SWEDEN

Barafu inaanguka kwa wingi.Imeanza kuanguka usiku na inaendelea mpaka muda huu.Madhara yameanza kuonekana ikiwemo wengi kukwama barabarani hivyo kupekekea wengi kuchelewa makazini

START YOUR OWN ONLINE BUSINESS

 Many people are working online especially during this time of CoronaYou can do this also if you have a will.  Register for a Free Live Webi...