Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2016

IMEJIPOST

THE WARDROBE: JINSI YA KUPANGILIA MAVAZI

THE WARDROBE: AFRICAN PRINT DESIGNS

VIATU KUTOKA KWA BETTY LONDON

SHORT HAIR STYLES

THE KITCHEN: DIFFERENT KITCHEN DESIGNS

THE LIVING ROOM: AINA TOFAUTI ZA LEATHER SOFA NA MPANGILIO WAKE

18K Stamp Men's High Quality Gold Filled Chunky Necklaces Chains/Bracelet 18KReal Gold Filled/plated

Hii set ni unisex. Inaweza kuvaliwa na mwanamke au mwanaume.Kama unaihitaji unawezaipata hapa:
http://www.gotclicks1.com/YsY8wfCkkglv

WOMEN SUNGLASSES

Kama umeipenda miwani (sunglasses),inapatikana hapa:
http://www.gotclicks1.com/gtmesrFMHbMf

FASHION WRIST WATCH FOR WOMEN

Kama umeipenda inapatikana hapa
http://www.gotclicks1.com/zQbCWenpsb4n

HATMA YA MTU HUPANGWA NA MUNGU NA SI MWANADAMU

DEAR FRIENDS.Wiki chache zilizopita nilikwenda Bank, nikiwa karibu kuifikia foleni iliyokuwa mbele yangu ghafla alitokea mwanamke mmoja nyuma yangu kwa kasi ya ajabu akanisukuma pembeni ili ajiunge na foleni ndefu iliyokuwepo Bank kabla yangu. Nikiwa bado namshangaa alifanya haraka akajiunga na ile foleni ndefu. Sikumsemesha chochote, alidhani nitaenda kusimama nyuma yake lakini mimi sikuwa nahitaji kuweka wala kutoa fedha bali nilikuwa naelekea "Bulk" wanapoenda watu wanaotoa au kuweka fedha nyingi. Huko hakukuwa na foleni kwahiyo niliingia na kupatiwa huduma kisha nikatoka. Nilipokuwa naondoka yule mwanamke alinifuata kuniomba radhi kwa kunisukuma "Ooh pole na samahani sana kwa kukusukuma, nilidhani na wewe unakuja kwenye foleni nikataka kukuwahi. Kwakweli nisamehe bure." Nikamtoa wasiwasi kisha nikaondoka na kumuacha kwenye foleni.Tangu wakati huo, kuna somo kubwa sana nimejifunza. Ni Mara nyingi sana hali kama hii inatokea katika maisha yetu ya kila siku. Inawe…

HAND BAG KUTOKA KWA TED LAPIDIUS

BETTY LONDON SHOES

FERICELLI MAURA WINTER BOOTS