Thursday 27 April 2017

I LOVE THE SHOES

Mimi ni mpenzi sana wa viatu,handbags na perfumes hivyo nikiona kiatu chochote kilichonivutia au perfume niliyoipenda sina budi ju share nanyi wasomaji wangu.

Tuesday 18 April 2017

VIATU KWA WANAWAKE

THE BATHROOM: BATHTUBS

Unapenda mwonekano gani katika bafu lako?Je,unapenda bafu lenye shower au bath tub au vyote?
Majibu ya maswali haya ndiyo yataamua mwonekano wa bafu lako.
Mimi hupendelea kuoga kwenye bathtub.Ni sehemu ambayo ninaweza kuchukua muda mrefu kupumzisha akili yangu baada ya harakati za siku nzima.Hunifanya nijisikie vizuri.
Bathtubs zipo za aina tofauti kulingana na kipato chako.
Hebu tuangalie bathtubs zifuatazo

THE DINNING ROOM: DINNING ROOM FURNITURE

Unaweza kuifanya dining room yako iviutie kutokana na furniture (samani)utskaxowela na mpangilio wake.Haijalishi kama dining room yako ni kubwa au ndogo,kikubwa ni ubunifu wako tu katika kupangilia.
Si lazima ufanye kazi hii mwenyewe.Unaweza kutumia wataalamu wa kupamba/kupangilia nyumba wakakushauri.Ila washauri hawa hutoza gharama kwa kazi hiyo.
Angalia hapa chini baadhi ya samani za dining room na mpangilio wake.

Sunday 16 April 2017

PASAKA NJEMA KWENU WOTE!

Rainbow-tz blog inawatakia wote heri ya sikukuu ya Pasaka.Wote tu sherehe keep sikukuu kwa amani na upendo.
Ni kipindi cha kuonyesha upendo kwa wenzetu walio katika wakati mgumu/mazingira magumu.Kwa kufanya hivi baraka za Mwenyezi Mungu zitakuwa nasi sasa na hata milele na zitamulika maisha yetu kama mshumaa.
HAPPY EASTER TO YOU ALL!

Wednesday 12 April 2017

LOVING THESE DRESSES

Magaoni yanaopatikana  katika website hapo chini

They are available here:
http://www.gotclicks1.com/5mErSnsAAvDc

Saturday 8 April 2017

AFRICAN PRINT DESIGNS FOR GIRLS

VIRTUAL VYA KILEO KWA WATU WA LEO

Kama we were ni mpenzi wa viatu kama mimi unaweza kuangalia instagram akaunti yetu kwa ability ya viatu, handbags n.k
India happy @sanamodaboutique



THE BEDROOM:AINA ZA VITANDA NA MPANGILIO WAKE

Unaponunua kitanda inatakiwa kuzingatia uimara wake na vile vile zingatia aina ya  godoro ili kuepuka maumivu ya mgongo.Kitandani ni sehemu tunayotumia nusu ya muda wetu hivyo ni bora tuwe makini.
Mimi ninapendelea continental beds.Na ndizo nitawaonyesha haha Leo!




THE LIVING ROOM:UPANGILIAJI WA SEBULE

Sebule hupendeza kutokana na mpangilio wa vitu na si wingi wa vitu.Hivyo inabidi kuwa makini katika ununuzi na upangiliaji wa Samani (furniture).Angalia upangiliaji tofauti katika picha zifuatazo



PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...