Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2017

I LOVE THE HANDBAG

ANNA FIELD SHOES

Nilipenda hivi viatu rangi ya blue na bahati mbaya nilikosa size yangu.Nikasema ngoja ninunue beige ambayo size yangu ilikuwepo.
Kwa kweli sikujutia blind shop niliyofanya!Viatu ni vizuri sana!

I LOVE THE IDEA!

Handbag hii ni moja kwa mbili.Angalia mwenyewe

WOMEN SLIP-INS FROM KIOMI

Hizi slip ins zitakufanya uonekane mtanashati. Ni nzuri kuvaa  na suruari fupi kidogo (3/4 alias chinos)

THE WARDROBE: MICHAEL KORS BALLERINA SHOES

Hizi ballerina za Michael  Kors zinavutia mno.Nakshi ya gold imeongeza uzuri katika kiatu.
Mimi ninazo  za kahawia (brown )
HOME DECOR:SHOE RACK

Hii kabati ya kuhifadhia viatu inapendeza kuwa nayo nyumbani.Kwanini? Ni kwa sababu zifuatazo :
1. Viatu havionekani
2. Ni rahisi kupata sehemu ya kuweka kutokana na muundo wake
3. Viatu vinapata hewa

4. Inaongeza unadhifu wa nyumba yako

THE BEDROOM:BEDROOM FURNITURES NA MPANGILIO WAKE

THE DINING ROOM:DINING ROOM FURNITURES