Tuesday 14 November 2017

I LOVE THESE WRIST WATCH

THE WARDROBE

Unaweza kuvaa simple kabisa na u kapendeza mno.Unaweza kununua mavazi kwa bei poa kabisa na ukapendeza kutokana na upangiliaji wako na ukamshinda aliyevaa mavazi ya wabunifu wakubwa.
Mimi binafsi huvutiwa na style /design ya kitu zaidi kuliko jina la mbunifu.
Nguo zifuatazo ni simple ila zimebuniwa vizuri.

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...