Thursday 25 January 2018

I LOVE ADDIDAS

Mimi nina mahaba na addidas

HOME DECOR: I LOVE THESE WALL SHELVES

Wall shelves zilizoninivutia.

HOME DECOR: CONTINENTAL BEDS

Kitanda ni sehemu ambayo wengi tunatumia muda wetu mwingi pale tunapohitaji kupumzika. Kama ni hivyo basi tunaponunua kitanda ni lazima tuangalie kitanda kinachofaa. Kwangu mimi uzuri wa kitanda ni godoro.Ukiwa na godoro linalofaa utatamani kupumzika kitandani kila unapojisikia kufanya hivyo.Godoro kama ni baya hutakitaka kitanda.Kitanda chenye godoro baya hukuletea uchovu na maumivu ya mgongo.


Bildresultat för kontinentalsängar


Bildresultat för kontinentalsängar
Bildresultat för kontinentalsängar

Relaterad bild

Bildresultat för kontinentalsängar

UBUNIFU UNAVYOWEZAPENZDEZESHA NYUMBA YAKO


Kuna vitu vingi tunavitupa ila tukifikiri zaidi tunaweza kuvibadilisha au kuvifanyia ubunifu wenye manufaa kwetu. Vitu kama chupa, matairi, viatu tusivyotumia, makopo, sahani, baiskeli n.k, vinaweza kutumika tena katika kutengeneza urembo mbalimbali majumbani kwetu. Leo ninaweka mifano michache.

 Bildresultat för container gardening ideasBildresultat för container gardening ideas


Relaterad bildBildresultat för container gardening ideas

Relaterad bildRelaterad bild


Tuesday 23 January 2018

BAADA YA KIMYA KIREFU TUENDELEE KU-BLOGU

Wasomaji wangu karibuni tena tuendelee kuelimishana kuhusu vitu vizuri kuanzia mavazi, furniture/mapambo ya nyumba n.k
Samahani kwa kutokuwepo hewani kwa muda mrefu kutokana na sababu zilikokuwa nje ya uwezo.
Kwasasa blogu yetu itaendelea as never before. Asante wote kwa uvumilivu na poleni wote kwa kuwavunja moyo.




Stockholm kwasasa ni baridi na hali ni kama inavyoonekana katika picha

MENS WEAR

Nice mens' shoes












LOAFERS KWA WANAWAKE

Binafsi napenda sana viatu vya rangi ya kahawia(brown) na ninavyo pair za kunitosha katika mitindo tofauti, Hupendeza kuvaa na jeans



PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...