Friday 23 August 2013

MADHARA YA TINDIKALI(ACID). JE KUNA HAKI YOYOTE KWA WAATHIRIKA?


Acid Throwing, Acid, Throwing, Is, There, Any, Justice, For, The, 

Victims, Iran, Pakistan, Cambodia, India, Bangladesh, Afghanistan, Islamabad, Rawalpindi, Britain, New York, Iranians, 

Western World, Ameneh Bahrami, amenah, bahrami, majid movahedi, majid, movahedi, Mridula Bandyopadhvay, Mahmuda Rahman 

khan, Shahnaz Bukhari, MNA, Marvi Memon, Begum Shahnaz Sheikh, Anusha Rehman, advocate, women, National assembly, 

Progressive womens association, The acid control and acid crime prevention bill 2010, acid control, acid crime, vitriolage, 

qisas, retribution, amnesty international, British, foreign office, torture, crime, violence, domestic violence, sexual 

advances, marriage proposals, demands of dowry, dowry, sex, marriage, assault, hydrochloric acid, sulfuric acid, victims, 

acid throwing victims, social epidemic, lex talionis, legislation, medical, psychological, rehabilitation, blinded, Current 

affairs, current news, politics, news, social issues, blogs, blog, photos, carbonated.tv, carbonated tv,
Tindikali katika chupa

 
Khodeza Begum na mwanae walimwagiwa tindikali wakiwa wamelala huko Bangladeshi


 Wahanga wengi wa tindikali wapo katika nchi za Cambodia, Afghanistan, India, Bangladesh, Pakistan na nchi nyingine za jirani na hizo na asilimia 80%  ya wahanga wa kumwagiwa tindikali ni wanawake.





women's empowerment, izabella demavlys, acid violence, domestic violence, violence against women, abuse

 
Saira Liaqat akiwa ameshikilia picha ake kabla ya kumwagiwa tindikali huko Lahore Pakistan. Saira alishambuliwa na mumewe ambaye wana ujamaa nae mara baada ya Saira kukataa kuishi na mumewe huyo mpaka pale(Saira) amalizapo shule.


Mhanga wa tindikali kutoka Cambodia

  • Darlison Kobusingye, mhanga wa tindikali kutoka . Darlison na mumewe Joseph Muganizi, 35, walivamiwa na kumwagiwa tindikali nje yya duka lao. Hapa picha ikimwonyesha Darlison akiwa nje ya hospitali Mulago alipokuwa akipatiwa matibabu.Hii ilikuwa ni januari 4 mwaka 2012 PHOTO/ AFP

    Incredible bravery of acid attack victim
    Patricia Lefranc kutoka Ubelgiji,alimwagiwa tindikali(sulphuric acid) usoni  na mpenzi wake na alikaa katika hali ya kutojitambua kwa miezi mitatu.Jicho moja la Patricia halioni kabisa na hana uwezo wa kusikia vizuri kutokana na madhara ya tindikali hiyo. Amefanyiwa upasuaji mara 86.Miaka miwili baada ya ajali hii bado tindikali inaendelea kumomonyoa ngozi yake na kula pua yake.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...