Saturday 24 August 2013

TAFRIJA YA USIKU WA MAAFISA MASOKO WAFANA JIJININ DAR.

Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mh Ephraimu Mafuru akitoa neno mara baada ya kukaribishwa mbele kwa niaba ya kampuni ya Bia ya Serengeti katika tafrija ya Usiku wa Maafisa masoko iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika Hoteli ya Golden Tulip na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia Kinywaji chake Cha Tusker Lite
 Meneja wa Kinywaji cha Tusker Sia Shayo akitoa neno mara baada ya kukaribishwa mbele kwa niaba ya kampuni ya Bia ya Serengeti katika tafrija ya Usiku wa Maafisa masoko iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika Hoteli ya Golden Tulip na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia Kinywaji chake Cha Tusker Lite

 Baadhi ya maafisa masoko kutoka kampuni mbalimbali za hapa nchini na nje ya nchi wakisikiliza kwa makini katika tafrija ya Usiku wa Maafisa masoko iliyofanyika katika hoteli ya Golden Tulip na kudhaminiwa na Kampuni ya bia ya Serengeti Brewries Limited kupitia kinywaji chake cha Tusker
 Banana Zoro akiwa na wadau waliohudhuria tafrija ya Usiku wa Maafisa Masoko iliyofanyika Katika Hoteli ya Golden Tulip na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia Kinywaji chake cha Tusker Lite, tafrija iliyofanyika usiku wa Kuamkia leo
 Baadhi ya Maafisa masoko waliohudhuria tafrija hiyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Brewries Limited Mh Steve Gannon akitabasamu mara baada ya Meneja Masoko wa Serengeti Brewries Limited Mh Ephraimu Mafuru (hayupo pichani) kutoa Neno lake kwa niaba ya Kampuni ya Serengeti Brewries Limited ambao Walikuwa wadhamini wa tafrija hiyo ya Usiku wa Maafisa Masoko kupitia Kinywaji Chao cha Tusker Lite.
 Mwanamuziki Banana Zoro akiwa na bendi yake ya B-Band akitumbuiza katika tafrija ya Usiku wa Maafisa masoko iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya Golden Tulip huku Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia Kinywaji chake cha Tusker Lite kudhamini tafrija hiyo.

Picha Zote na Josephat Lukaza wa Http://josephatlukaza.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...