Wednesday 28 August 2013

WAZIRI MKUU NA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA


IMG_0462
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Kahama James Lembeli (kushoto) na Mbungewa Mafia, Abdulkarim Shah (katikati) kwenye Ofisi za Bunge Mjini Dodoma Agosti 28,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 IMG_0476
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Agosti 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0480
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Agosti 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

IMG_0491
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Wabunge wa Upinzani  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Agosti 28, 2013.  Kustoka kushoto ni Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia. (picha na Ofisi ya waziri Mkuu) IMG_0511
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitetana Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. Augosti 28, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...