Tuesday 17 September 2013

KESI YA SHEIKH PONDA MPAKA OKTOBA 1, ANYIMWA DHAMANA NA KURUDISHWARUMANDE


 Sheikh Ponda Akishuka kwenye basi la Magereza tayari kuingia Mahakamani Kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro. Sheikh Ponda alishatikiwa katika Mahakama Hiyo akikabiliwa na Mashtaka Matatu Ambayo inadaiwa aliyatenda Mkoani Morogoro katika Mkutano Hadhara mwezi uliopita. Kesi hiyo imearishwa tena Mpaka Tarehe 01.10.2013. Mshitakiwa Amenyimwa Dhamana na Amerudishwa Rumande.
Sheikh Ponda akiwa Chini ya Ulinzi Mkali wakati akiingia Mahakamani kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.
CHANZO:Matukio na Michapo

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...