Friday 20 September 2013

MHE. RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE MWENYEKITI CCM TAIFA AKUTANA NA UONGOZI WA CCM DMV

Bwana George Sebo mwenyekiti wa  CCM DMV akiwa katika mazungumzo na Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete Mwenyekiti CCM Taifa. Mhe. Rais Kikwete  ametoa wito wa ushirikiano ili kukiimarisha chama hapa DMV. Kikao hiki kimefanyika leo Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani.
   Viongozi CCM DMV wakijadiliana jambo kabla ya kikao cha Faragha na Mhe. Rais Kikwete leo Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani.
  Yacob Kinyemi katibu wa CCM DMV (kushoto) akiongea jambo na Faraja Isingo Fedha na mipango (katikati) huku Salma Moshi(Kulia)Itikadi na Uenezi akisikiliza kwa makini, kabla ya kikao chao na Mhe. Rais Kikwete leo Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani.
  Eliserena Kimolo (katikati) Mwenyekiti Wanawake CCM DMV akitoa ufafanuzi huku Bwana George Sebo mwenyekiti wa  CCM DMV akisikiliza kwa makini, kabla ya kikao chao na Mhe. Rais Kikwete leo Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani.
Faraja Isingo Fedha na mipango (katikati) akitafakari jambo kwa makini 


 Salma Moshi Itikadi na uenezi akimueleza jambo Mhe. Rais Kikwete wakati wa kikao chao leo Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani.



 Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete Mwenyekiti CCM Taifa akielekeza jambo katika kikao chake na uongozi wa CCM DMV. Kikao hiki kimefanyika leo Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani.

Bwana George Sebo mwenyekiti wa  CCM DMV akieleza jambo katika kikao na  Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete Mwenyekiti CCM Taifa leo Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani.

    Faraja Isingo Itikadi na Mipango (kushoto) akifuatilia kikao kwa Makini


   Faraja Isingo Itikadi na Mipango (kushoto) akimshukuru Mhe. Rais Kikwete

Mhe. Balozi Liberata Mulamula akimsalimia Bwana George Sebo mwenyekiti wa  CCM DMV
 Mhe. Rais Kikwete akiwa na Bwana George Sebo mwenyekiti wa  CCM DMV
 Mhe. Rais Kikwete akiwa na Bwana Jacob Kinyemi Katibu wa CCM DMV
 Mhe. Rais Kikwete akiwa na Salma Moshi Itikadi na Uenezi CCM DMV
 Mhe. Rais Kikwete akiwa na Faraja Isingo Fedha na Mipango CCM DMV

Mhe. Rais Kikwete akiwa na Samson Anania mwenyekiti wa shina la CCM Hyttsille One

Mhe. Rais Kikwete akiwa na Eliserena Kimolo Mwenyeki Wanawake CCM DMV

Mhe. Rais Kikwete akiwa na Grace Mgaza Mwenyekiti Wazazi CCM DMV

Mhe. Rais Kikwete akiwa na Bwana DMK Mkurugenzi wa MMK MEDIA GROUP: Swahili TV, Swahili Radio na Swahilitv Blog.

 Viongozi CCM DMV wakipata picha ya kumbukumbu na Mhe. Rais Kikwete mara baada ya kikao chao, leo hii Sept 19,2013 katika Jiji la Washington D.C. Marekani.
 Viongozi CCM DMV wakipata chakula cha mchana mara baada ya kikao chao na Mhe. Rais Kikwete, leo hii Sept 19,2013 katika Jiji la Washington D.C. Marekani.

 Viongozi CCM DMV wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kikao chao na Mhe. Rais Kikwete , leo hii Sept 19,2013 katika Jiji la Washington D.C. Marekani.

Kanali Mutta mwambata mpya wa kijeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada akiwa na Eliserena Kimolo Mwenyekiti Wanawake CCM DMV
Eliserena Kimolo, Balozi wa Heshima Ahmed Issa na Mkewe Cherry Julian 
 Cherry Julian, Faraja Isingo na Balozi wa Heshima bwana Ahmed Issa wakipata picha ya kumbukumbu
CHANZO: SWAHILI TV

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...