
Rafael Nadal ambaye ni mchezaji wa tenisi namba 2 duniani kwa upande wa wanaume,amemshinda mchezaji namba 1 wa tenisi Novak Djokovic katika fainali za mashindano ya wazi ya US maarufu kama ``US Open``. Nadal ameshinda kwa 6-2, 3-6, 6-4, 6-1 na kunyakua taji la 13.
SOURCE: TENNIS WORLD USA
No comments:
Post a Comment