Thursday 19 September 2013

TAHADHARI,PICHA ZINATISHA:MTU MMOJA APOTEZA MAISHA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA SIMBA HUKO MKOANI LINDI

Hivi karibuni mdau wa website ya masainyotambofu akiongea kwa njia ya simu ya kiganjani kutoka huko mkoani LINDI wilaya ya NACHINGWEA katika kijiji cha ''LIONJA'' Alitoa taarifa kuhusu Mtu huyu mwenye umri wa miaka (45) ameuwawa na simba wakati akienda shambani kwake alfajiri kwenda kuangalia korosho wakati akielekea shambani ndipo aliposhambuliwa na simba hao wawili kabla ya tukio hilo simba hao walikuwa wakishambulia mbwa katika kijiji hicho, Tukio hili lilijiri siku chache zilizopita, M/mungu ailaze roho ya marehem mahala pema peponi.








Wanakijiji wakitaharuki baada ya kuuona mwili wa marehemu.
CHANZO: Mdodosaji

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...