
Tarehe kama ya leo mwaka 1950 alizaliwa Rais wa awamu ya nne Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Rainbow-tz inakutakia Afya Njema, Maisha marefu pamoja na Baraka nyingi kutoka mwa Mwenyezi Mungu akujalie Hekima zaidi uzidi kuiongoza nchi yetu kwa Amani Upendo na utulivu.
HAPPY BIRTHDAY MR PRESIDENT!

No comments:
Post a Comment