Saturday 10 May 2014

MWILI HAUJENGWI KWA MBAO AU MATOFALI

VIAZI VYA KUCHEMSHA, MAINI YA KUKAANGA NA MBOGAMBOGA
Viazi viwili vya kuchemsha, 3/4 kikombe french beans (kiswahili chake  nadhani maharagwe machanga) ambazo nimezichemsha dakika 5 tu nikachuja maji na kuweka siagi kidogo na chumvi.Maini ya ng'ombe ya kukaanga (nimetumia olive oil))na kitunguu maji,kitunguu saumu, tandoori masala kidogo na chumvi kuweka ladha.Ni mlo wa haraka lakini upo kamili.



No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...