Saturday 17 May 2014

THE KITCHEN: NYUMBA NZURI HUAMBATANA NA JIKO ZURI!

Nyumba yako hata kama ni ndogo isiwe sababu ya kuwa na jiko lisiloeleweka.Tengenezamwonekano mzuri wa  mazingira ya jiko lako kilingana na ukubwa wake.Si lazima uige kila kitu kutoka katika nyumba ya rafiki yako, au popote pale kwenye jiko kubwa na kuhamishia kwako kwenye jiko dogo.Jiko lako halitapendeza na badala yake litakuwa kituko.Angalia picha mbalimbali zikionyesha chumba cha jiko katika ukubwa tofauti.


Jiko kama hili linahitaji nafasi kubwa kidogo ili lipendeze kama inavyoonekana katika picha.


Jiko dogo linaweza kuwa hivi na kuvutia 





Jiko hili linahitaji nafasi


Jiko dogo linaweza kuwa hivi na likapendeza sana




No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...