Saturday, 20 September 2014

BIRINGANYA NA NYAMA YA KUSAGA

Mbali na kupenda upambaji wa nyumba, napenda sana kupika .Nitakuwa nawawekea mapishi yangu mbalimbali kwa picha na kama utapenda usisite kuniandikia.Karibu na wewe mwenye mapishi yako  kutuonyesha.
Leo nawaonyesha biringanya na nyama ya kusaga.Matayarisho yake ni dakika 25 na kupika ni dakika 25.Jumla inachukua dakika 50.
Huu mlo nimetengeneza jana usiku.Hii unaweza kula na pasta na saladi.
Mlo kamili ukionekana hivi
Bofya hapa kwa kuangalia hatua zote za matayarisho katika picha


7
Saladi ikiwa tayari

6
Biringanya na nyama ya kusaga vikiwa tayari

5

4

3

2

1

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...