Thursday, 4 May 2017

INSOLENCE GUERLAIN WOMEN PERFUME

Haya ni manukato mazuri kwa wanawake.Kuna EDP na EDT hivyo uchaguzi ni wako

Thursday, 27 April 2017

I LOVE THE SHOES

Mimi ni mpenzi sana wa viatu,handbags na perfumes hivyo nikiona kiatu chochote kilichonivutia au perfume niliyoipenda sina budi ju share nanyi wasomaji wangu.