CHANZO: EFM radio
Showing posts with label TANZIA. Show all posts
Showing posts with label TANZIA. Show all posts
Friday, 16 October 2015
Friday, 17 July 2015
TANZIA: MSANII BANZA STONE (RAMADHANI MASANJA) AFARIKI DUNIA
![]() |
| Banza stone, enzi za uhai wake |
Staa wa Muziki wa Dansi Bongo,
Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefariki dunia mchana huu baada ya kuugua kwa
muda mrefu. Kaka wa marehemu aitwaye Hamis amethibisha msiba huo.
Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu,
Banza alikuwa anasumbuliwa na fangasi waliokuwa wanamshambulia kichwani (ubongo) na shingoni.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya
marehemu mahali pema peponi. AMEN
CHANZO: GPL
Sunday, 19 April 2015
TANZIA:MSIBA WA PETER EMMANUEL JOSEPH KWINGWA
![]() |
| Marehemu Peter Emmanuel Kwingwa
Charles Kwingwa wa Stockholm Sweden, anasikitika kutangaza msiba wa
mdogo wake, Peter Emmanuel Kwingwa,uliotokea tarehe 16 aprili huko Dar es
salaam.Mazishi yatafanyika Kongowe Dar es salaam, Jumatatu,tarehe 20
aprili.
Mungu ailaze roho ya marehemu Peter Emmanuel
mahala pema peponi,amen.
|
Subscribe to:
Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
-
No 10 : Oriens By Van Cleef & Arpels No 9 : Love Sweet Love By Philosophy Love Sweet Love by Philosophy is an ideal summer perfum...

