Showing posts with label SIKUKUU. Show all posts
Showing posts with label SIKUKUU. Show all posts

Sunday, 16 April 2017

PASAKA NJEMA KWENU WOTE!

Rainbow-tz blog inawatakia wote heri ya sikukuu ya Pasaka.Wote tu sherehe keep sikukuu kwa amani na upendo.
Ni kipindi cha kuonyesha upendo kwa wenzetu walio katika wakati mgumu/mazingira magumu.Kwa kufanya hivi baraka za Mwenyezi Mungu zitakuwa nasi sasa na hata milele na zitamulika maisha yetu kama mshumaa.
HAPPY EASTER TO YOU ALL!

Tuesday, 5 July 2016

EID MUBARAK!


Happy Eid Mubark to everyone. May you all have a very happy and blessed Eid. Enjoy these amazing days and remember those who need our help.

Thursday, 24 December 2015

MERRY CHRISTMAS KWENU WOTE!!




Rainbow-tz blog inawatakia wote heri ya sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo,maarufu kama KRISMASI. Katika kusherehekea sikukuu hii tulete upendo pale palipo na chuki na hekima pale palipojaa dharau.Kwa mliojaliwa kidogo mkumbuke kuwa kuna waliokosa kabisa hivyo tuwakumbuke nao katika hicho kidogo.Usitupe chakula wakati jirani yako ananjaa, usitupe nguo wakati jirani yako yupo uchi na usimwage maji wakati jirani yako ana kiu.
Mungu awabariki wote .

MERRY CHRISTMAS!!

Saturday, 18 July 2015

EID MUBARAK!



Rainbow-tz inawatakia waislamu wote duniani heri ya sikukuu ya eid.
Tusherehekee sikukuu hii kwa kuonyesha upendo, huku tukiwakumbuka wale wenye uhitaji.

Eid Mubarak!


Thursday, 30 April 2015

HAPPY BIRTHDAY CARL XVI GUSTAF, THE KING OF SWEDEN

                                                                       

Carl XVI Gustaf, the King of Sweden, was born on 30 April 1946 at Haga Palace.
He is son of then Crown Prince Gustaf Adolf and Princess Sibylla of Sachsen-Coburg-Gotha. He was baptised at the Palace Church on 7 June 1946 and named Carl Gustaf Folke Hubertus.

HAPPY WALPURGIS/ TREVLIG VALBORG!




Jijini Stockholm nchini Sweden,tunajiandaa kwenda kwenye  uwashaji  moto mkubwa kusherehekea walpugris au “valborg”,kama wenyewe Waswidi wanavyoita.
Sherehe hii inaashiria  kumalizika kwa msimu wa baridi na kuingia katika msimu wa spring.

TREVLIG VALBORG!

Friday, 13 February 2015

HAPPY VALENTINES DAY KWENU WOTE!




              Ninawatakia wote Valentine njema.
Tusherehekee kwa upendo na wale tuwapendao kwani siku hii ni maalum kwa kuonyesha upendo wetu kwa watu tunaowapenda!
HAPPY VALENTINE KWENU WOTE!

Na Anna Nindi-mmiliki wa blogu





Wednesday, 24 December 2014

MERRY CHRISTMAS KWENU WOTE!



Rainbow-tz blog inawatakia wote Krismasi njema.Sikukuu hii na iwe yenye heri kwa wote na ilete matumaini  pale palipokosekana matumaini,upendo mahali ambapo pana chuki na heshima pale palipojaa dharau.
Tujaribu vilevile kuwakumbuka wale walio na mahitaji muhimu,kila mtu afanye hili kwa uwezo wake,na Mungu atatuongezea mara dufu pale tutakapopunguza.
MERRY CHRISTMAS KWENU WOTE.
Anna

Mmiliki wa blogu


PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...