Wednesday 18 September 2013

MAN CITY ILIVYOTUMIA DAKIKA 10 TU KUITISHA MAN UNITED


KOCHA Manuel Pellegrini jana alikuwa mwenye furaha baada ya timu yake, Manchester City kuanza vyema Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa 3-0 ugenini dhidi ya wenyeji Viktoria Plzen katika kundi lao D lenye timu za Bayern Munich na CSKA Moscow.
Dakika 10 zilitosha kwa City kutengeneza ushindi mnono na sasa wanaelekea kwenye mchezo na mahasimu, Man United Jumapili wakiwa wenye kujiamini.
Edin Dzeko alifunga la kwanza dakika ya 48, Yaya Toure akafunga la pili dakika ya 53 na Sergio 'Kun' Aguero akakamilisha kazi dakika ya 58 kwa bao la tatu.
kikosi cha Man City kilikuwa: Hart, Zabaleta, Kompany, Nastasic, Kolarov, Toure (Javi Garcia 80), Fernandinho, Jesus Navas/Milner dk67, Aguero, Nasri, Dzeko/Negredo dk83.
Plzen: Kozacik, Rajtoral, Hejda/Hubnik dk66, Prochazka, Limbersky, Horava, Horvath, Petrzela, Kolar/Duris dk61, Kovarik, Bakos/Tecl dk84.

Dream start: Manchester City players celebrate their away win at Viktoria Plzen
Salamu United: Wachezaji wa Manchester City wakishangilia ushindi wao wa ugenini dhidi ya Viktoria Plzen
Dream start: Manchester City celebrate their winning start to the Champions League campaign
Mwanzo mzuri: Wachezaji wa Manchester City wakisherehekea kuanza vyema Ligi ya Mabingwa
Opening up: Edin Dzeko scores Manchester City's first goal with a neat finish
La kwanza: Edin Dzeko aliifungia bao la kwanza Manchester City

Breaking the deadlock: Dzeko celebrates his goal shortly after half time
Dzeko akishangilia baada ya kufunga
No stopping that: Viktoria Plzen's goalkeeper Matus Kozacik dives for the ball as Manchester City's Yaya Toure (unseen) scores
Huwezi kuzuia mchomo huu: Kipa wa Viktoria Plzen, Matus Kozacik akirukia mpira uliopigwa na kiungo wa Manchester City, Yaya Toure (hayupo pichani) bila mafanikio, unapita kutinga nyavuni
Pick that one out: Yaya Toure celebrates his excellent goal from outside the box
Yaya Toure akishangilia baada ya kufunga bao zuri kutoka nje ya boksi
Running free: Samir Nasri beats Viktoria Plzen's Lukas Hejda to the ball
Samir Nasri akimtoka mchezaji wa Viktoria Plzen, Lukas Hejda 
Sergio Aguero
Sergio Aguero
Vitani: Sergio Aguero akipambana na Lukas Hejda 
Wrapping it up: Aguero celebrates scoring City's third
Aguero akishangilia baada ya kufunga bao la tatu
Edin Dzeko
Yaya Toure (L) and Samir Nasri celebrate Toure's goal
Aguero akishangilia na Dzeko, na Toure na Nasri 
Perfect start: Manuel Pellegrini enjoyed a win on his first Champions League game in charge of City
Mwanzo mzuri: Manuel Pellegrini alifurahia ushindi wa ugenini jana
CHANZO: BIN ZUBEIRY

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...