Wednesday 18 September 2013

RAIS MSTAAFU ATEMBELEWA NYUMBANI KWAKE NA WAGENI MBALIMBALI

2- mkapa (alienyoosha mkono)akionea na kikosi kazi
Rais Msataafu Mh. Benjamin Mkapa (alienyanyua mkono mbele) leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam  akiongea na wageni wake leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam walipokwenda kumtembelea.. (Pichani mbele mwenye  Kaunda suti ya cream) ni Mkuu wa Chuo cha Diplomasia Balozi Mohammed Omari Maundi.
 3- Mkapa (kush) akimsikiliza mk
Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam Balozi Mohammed Omari Mahundi (kulia) leo alipokwenda kumtembelea nyumbani kwake.4- mwambene(kulia) akitoa maelezo mafupi(kati) ni Mk n(a kuliaa)Mkapa
Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kulia), leo jijini Dar es Salam walipokwenda  kumtembelea.(pichani katikati) Ni Mkuu wa chuo cha Diplomasia nchini Balozi Mohammed Omari Maundi.


9- mkapa (kush) akiongea na Mk
Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa Benjamin Mkapa (kushoto) akiongea na Mkuu wa Chuo cha Diplomasia nchini Balozi Mohammed Omari Maundi leo jijini Dar es Salaam.
8-picha ya pamoja
Picha ya pamoja  kati ya Rais Mstaafu pamoja na wageni waliokwenda kumtembelea nyumbani kwake leo.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...