Tuesday 13 May 2014

THE LIVING ROOM:L- SHAPE SECTIONAL SOFA

Corner sofa unaweza kukalia mchana na kulalia usiku.Ni nzuri kama mtu unapata mgeni na unaishi  nyumba yenye nafasi ndogo.Katika post zijazo,nitaweka picha kuonyesha jinsi corner sofa  inavyoweza kuonekana kama kitanda.Endelea kufuatilia hapa.









No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...