Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2018

3D WICKER ALLIGATOR HANDBAG: MMH FASHION HIZI!

HOME DECOR: DIVAN SOFFA

Siku hizi watu hawajazi makochi mengi sitting room,kochi moja tu linatosha.Ni vizuri sitting room iwe na nafasi ili kuruhusu usafi na hewa nzuri. Uzuri wa sitting room siyo wingi wa makochi. Usiache kupitia hapa ili kupata dondoo za upambaji nyumba.Mimi nina mapenzi na upambaji wa nyumba, mitindo na mapishi hivyo nitakuwa nina share na wasomaji viyu vyote muhimu ili wote tuelimike.

REMBA KORIDO ZAKO SIYO KUZIACHA WAZI

Wengi tuna korido kwenye nyumba zetu ila ni wachache ambao wameziremba. Inawezekana ikawa kwa kutokupenda au kuto kujua.Iwe vyovyote si vibaya kwani tunaishi kwa kujifunza na hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu.Ukitaka ufanikiwe nifanye hujui chochote ili uongeze elimu.